Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

Membe ameonyesha ujasiri kwa kukiri ukweli, na amejitoa kushabikia mauaji kama alivyofanya Yusuph Makamba.Mtu yeyoye mwenye human element hawezi kukubaliana na upuuzi uliofanyika Arusha wa kutumia excessive forces to confront the demonstrators.Bravo Membe.
 
Kabla hawajamtaka Gbagbo wamwondoe meya wao arusha na waache unafiki.

Ningeshusha tusi hapa..................

Siyo meya wa arusha peke yake hata Rais mwenyewe kaingia ikulu kwa hila na wizi hivyo wote waachie madaraka kabla Mungu mwenyewe hajapitisha hukumu
 
Hivi hicho kikao ndiyo ilikuwa fursa pekee ya kutolea pole tangu mauaji hayo yametokea?????
 
Hao wanaintelijensia naona hawakwenda shule kama walipata fununu kwa nn wasingedhibiti mapema hicho kikundi cha waliotaka kufanya fujo? Huyo Mwema na Ukwe wake kwa kikwete ndo umeleta haya kapigiwa cmu usiku na mkwe wake kikwete ya kuzuia maandamano ya wapigania haki na maendeleo ya uma. Balaa lake ndo likawa hilo. HATUTAKI UNAFIKI WA KUOMBA RADHI. CHADEMA NI MASHUJAA WA AFRICA
 
Back
Top Bottom