Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

Wezi tu hao. Wanajali matumbo yao na nyumba ndogo zao, zaidi ya hapo tuhesabu ni usanii kwa sana under MC JK ambaye bado yuko likizo na akianza kazi mtasikia yuko Marekani kutembeza bakuli la kisasa.
 
Pambafu zao. Wameua ndiyo wanajifanya kutoa pole. Kwani hiyo ni ajali!? Huo ni usanii tuliouzoea sasa.
 
It is completely none sense for the minister to appologize for the killings in arusha as if it was an accident. That was a planned action for a special purpose. Hence, we can and will never trust any statement from government officials trying to build up a different picture to the public that the government was not involved whatsover in the killings. What the public knows is that before the killings, IGP Mwema and RPC Andengenye got green lights both from the minister and the state house. So Membe and his government coaligues are cheating themselves and not the diplomats and the general public.
 
Pole yao imechelewa sana!

Tangu waue Jan 05 hadi leo hii Jan 12, 2011. Isitoshe pole hiyo ni kama kejeli tu ukizingatia kwamba kesho wanafanya sherehe ya kufa mtu hapa hapa Arusha katika kona moja ya jiji na sisi kuendelea kuomboleza wafu wetu kona ya pili.

Baya zaidi, maudhui ya sherehe yao ni kumsimika yule yule Meya wa CCM ambaye uingiaji wake ofisini kihuni ndio imetufikisha hapa. Ndio busara zenyewe hizo.
 
Niliposoma heading tu nikahisi kuwa yawezekana ni maoni yake binafsi; kumbe kweli. Serikali haijakubali bado kuwa Polisi imefanya makosa. Tusipoangalia JK naye atakuja na "kutoa maoni binafsi".
 
Membe and his boss are attempting to combine wisdom and power, and this has only rarely been successful and then only for a short while. They are doing this for fears for the collapse of support hung in the air, the first time CCM suffered such a woeful run of CRITICISM!
 
Niliposoma heading tu nikahisi kuwa yawezekana ni maoni yake binafsi; kumbe kweli. Serikali haijakubali bado kuwa Polisi imefanya makosa. Tusipoangalia JK naye atakuja na "kutoa maoni binafsi".

Ulisema MM kwamba when it comes to good things sisiem and serikali yake wana-own but the opposite sisiem na serikali yake wanakaa kimya. Badala yake viongozi wake waandamizi ndiyo wanaibuka na maoni binafsi. Ama kweli nchi hii tunachezewa kama watoto wa chekechea.
 
Kauli ya Membe kuhusu mauaji yaliyofanywa na polisi Arusha.., nini kinaendelea ndani ya serikali., ni sahihi kwa Mwema na Nahodha kuendelea kung'ang'ania madaraka..?

Habari kamili..,

Na Hussein Issa (Mwananchi 12/01/2011)
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Jeshi la Polisi lilikiuka maadili ya kazi yao, lilipokuwa likikabiliana na raia waliokuwa wakiandamana kupinga suala la uteuzi wa meya wa Arusha.Waziri Membe aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na vurugu zilizozuka baada ya polisi kukabiliana na wafuasi wa Chadema waliokuwa wanaandamana jijini Arusha wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa kwa risasi za moto.

"Jeshi la Polisi linatakiwa kufanya kazi kwa mipaka ili kuhakikisha kuwa linadumisha amani nchini," alisema Membe akielezea kuwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na tukio hilo linaloelekea kuliwekea doa Tanzania ambayo inajulikana kuwa ni kisiwa cha amani.

Vurugu hizo zilitokana na Chadema kuamua kuandamana kwa amani licha ya kuwepo na amri ya polisi iliyokuwa inawazuia wakishinikiza uchaguzi wa Meya wa jiji la Arusha urudiwe kwa sababu kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu zilizomsimika Gaudence Lyimo wa CCM kwenye madaraka hayo. Membe alisema kuwa mabalozi wa nchi mbalimbali hapa nchini walimbana wakitaka Serikali iweke wazi suala la mauaji hayo ili dunia ifahamu ukweli badala ya tetesi.

"( Wamenibana (mabalozi) kweli kweli ili Serikali itoe tamko rasmi… Nimewajibu kwamba ndani ya wiki hii Serikali itatoa tamko kwa kuwa nayo haijafurahia mauaji hayo," alisema Membe. Aliongeza kuwa waliokufa katika tukio hilo ni Watanzania hivyo bila kujali itikadi ya chama, msiba huo ni wa kitaifa.

"Natoa pole kwa wafiwa wote ambao wamepoteza ndugu na rafiki kutokana na tukio lile, pia na wale waliolazwa hospitali, nawatakia kila la kheri wapone na kuendelea na shughuli zao kama kawaida," alisema Membe.

Membe alisema kuwa jana alikutana na mabalozi hao kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu tukio hilo la mauaji yaliyofanywa na polisi kwenye maandamano hayo ya wafuasi wa Chadema, Januari 5, mwaka huu. Habari za ndani ya kikao hicho ambazo gazeti hili lilizipata zilieleza kwamba mabalozi hao walilituhumu Jeshi la Polisi wakisema kuwa halikutenda haki kwa sababu waandamanaji hawakuwa na silaha na walikuwa wakiandamana kwa amani.

Walipendekeza pia kuwa ni vyema jeshi hilo likapatiwa mafunzo ya kukabili maandamano ili kujua ni wakati gani wa kutumia silaha za moto, mabomu ya machozi au vifaa vingine vya kutuliza ghasia.

Chanzo hicho kilieleza kwamba kauli za mabalozi hao kwa kiasi kikubwa zinaweza kuwa zimechangiwa na msimamo wa CCM na Chadema. Makatibu wa vyama vyote wamesikika wakikebehi kauli iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsa Vuai Nahodha ya kusema tatizo hilo la Arusha ni la kisiasa hivyo linapaswa kutatuliwa kisiasa kwa vyama vyote viwili kukutana na kumaliza tofauti zao.

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Slaa alisema hawawezi kukaa na CCM kwa kuwa chama hicho na Serikali yake ni katili na ya kihuni. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba akasema hawezi kukutana na Chadema kwa sababu suala la meya wa Arusha liko nje ya uwezo wa vyama hivyo viwili.

Makmba alisema kwamba uchaguzi wa meya ulisimamiwa na Serikali na kwamba wao CCM kama ilivyo Chadema, walichofanya ni kupeleka jina la mtu wanayeona anafaa. Makamba alifafanua zaidi kuwa kulingana na taratibu, meya huyo wa CCM alichaguliwa kihalali na kwamba kama kuna aliye na malalamiko anapaswa kufungua kesi mahakamani.

Wakati mabalozi wakitoa maoni yao tayari maaskofu wa makanisa ya Kikristo mkoani Arusha wameshatangaza kutomtambua meya huyo wa CCM na kwamba hawatampa ushirikiano.
Kutokana na mazingira hayo ya kuwepo kwa watu waliopoteza maisha na hata shutuma hizo za viongozi wa dini, aliyechaguliwa Naibu Meya, Michael Kivuyo wa TLP, alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo.

Hata hivyo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati sakata hilo kwa kukutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema na Nahodha. Vilevile, Pinda anatarajiwa kukutana na viongozi wa Chadema
 
Kauli ya Membe kuhusu mauaji yaliyofanywa na polisi Arusha.., nini kinaendelea ndani ya serikali., ni sahihi kwa Mwema na Nahodha kuendelea kung'ang'ania madaraka..?

ndo tabia ya tabaka tawala,polisi wameshageuziwa kibao,maana hawa watawala wao wanaendelea kuomba misaada ugaibuni,lazma wawape mabaloz majibu ya kujiridhsha,lakini polisi walikurupuka?nani aliwa2ma?c walipewa order?WATAWALA MCJIENGUE,P*MB*VU
 
Hana lolote.

Ni harakati zake za kuutaka urais 2015.

Wanajisifu kutafuta amani Sudan wakati wao (Membe and Co) ni wavurugaji wa demokrasia na amani Tanzania.
 
Huyu bwana huwa simwamini hata kidogo, siajabu akaja na msimamo mwingine!
 
Hivi kuna watu wanamchukulia seriously huyu clown Membe?
 
Kauli ya Membe kuhusu mauaji yaliyofanywa na polisi Arusha.., nini kinaendelea ndani ya serikali., ni sahihi kwa Mwema na Nahodha kuendelea kung'ang'ania madaraka..?
We kweli ni Mpolipoli sa hiyo kauli ya Membe iko wapi?au umekurupuka tu toka usingizini afu unatuandikia utumbo hapa.
 
mkuu... taratibu... ila mporipori ana assume wote tumepata kuangalia TV na kusikia hii habari..... nahisi amekurupuka ku assume na sio kutoa post
 
Nimekusoma LAT,Wana Jamvi tunatakiwa tujifunze Kupost vitu vilivyokamilika unajua inaudhi unasoma Tittle inakuatract afu unaingia unakuta kilichomo hakirelate kabisa na Tittle.
 
Habari hii hapa wakuu.. (source Mwananchi)

Membe: Polisi walikiuka maadili mauaji Arusha
Send to a friend Tuesday, 11 January 2011 20:57 0diggsdigg

Hussein Issa
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Jeshi la Polisi lilikiuka maadili ya kazi yao, lilipokuwa likikabiliana na raia waliokuwa wakiandamana kupinga suala la uteuzi wa meya wa Arusha.Waziri Membe aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na vurugu zilizozuka baada ya polisi kukabiliana na wafuasi wa Chadema waliokuwa wanaandamana jijini Arusha wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa kwa risasi za moto.

“Jeshi la Polisi linatakiwa kufanya kazi kwa mipaka ili kuhakikisha kuwa linadumisha amani nchini,” alisema Membe akielezea kuwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na tukio hilo linaloelekea kuliwekea doa Tanzania ambayo inajulikana kuwa ni kisiwa cha amani.

Vurugu hizo zilitokana na Chadema kuamua kuandamana kwa amani licha ya kuwepo na amri ya polisi iliyokuwa inawazuia wakishinikiza uchaguzi wa Meya wa jiji la Arusha urudiwe kwa sababu kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu zilizomsimika Gaudence Lyimo wa CCM kwenye madaraka hayo. Membe alisema kuwa mabalozi wa nchi mbalimbali hapa nchini walimbana wakitaka Serikali iweke wazi suala la mauaji hayo ili dunia ifahamu ukweli badala ya tetesi.

“( Wamenibana (mabalozi) kweli kweli ili Serikali itoe tamko rasmi… Nimewajibu kwamba ndani ya wiki hii Serikali itatoa tamko kwa kuwa nayo haijafurahia mauaji hayo,” alisema Membe. Aliongeza kuwa waliokufa katika tukio hilo ni Watanzania hivyo bila kujali itikadi ya chama, msiba huo ni wa kitaifa.

“Natoa pole kwa wafiwa wote ambao wamepoteza ndugu na rafiki kutokana na tukio lile, pia na wale waliolazwa hospitali, nawatakia kila la kheri wapone na kuendelea na shughuli zao kama kawaida,” alisema Membe.

Membe alisema kuwa jana alikutana na mabalozi hao kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu tukio hilo la mauaji yaliyofanywa na polisi kwenye maandamano hayo ya wafuasi wa Chadema, Januari 5, mwaka huu. Habari za ndani ya kikao hicho ambazo gazeti hili lilizipata zilieleza kwamba mabalozi hao walilituhumu Jeshi la Polisi wakisema kuwa halikutenda haki kwa sababu waandamanaji hawakuwa na silaha na walikuwa wakiandamana kwa amani.

Walipendekeza pia kuwa ni vyema jeshi hilo likapatiwa mafunzo ya kukabili maandamano ili kujua ni wakati gani wa kutumia silaha za moto, mabomu ya machozi au vifaa vingine vya kutuliza ghasia.

Chanzo hicho kilieleza kwamba kauli za mabalozi hao kwa kiasi kikubwa zinaweza kuwa zimechangiwa na msimamo wa CCM na Chadema. Makatibu wa vyama vyote wamesikika wakikebehi kauli iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsa Vuai Nahodha ya kusema tatizo hilo la Arusha ni la kisiasa hivyo linapaswa kutatuliwa kisiasa kwa vyama vyote viwili kukutana na kumaliza tofauti zao.

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Slaa alisema hawawezi kukaa na CCM kwa kuwa chama hicho na Serikali yake ni katili na ya kihuni. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba akasema hawezi kukutana na Chadema kwa sababu suala la meya wa Arusha liko nje ya uwezo wa vyama hivyo viwili.

Makmba alisema kwamba uchaguzi wa meya ulisimamiwa na Serikali na kwamba wao CCM kama ilivyo Chadema, walichofanya ni kupeleka jina la mtu wanayeona anafaa. Makamba alifafanua zaidi kuwa kulingana na taratibu, meya huyo wa CCM alichaguliwa kihalali na kwamba kama kuna aliye na malalamiko anapaswa kufungua kesi mahakamani.

Wakati mabalozi wakitoa maoni yao tayari maaskofu wa makanisa ya Kikristo mkoani Arusha wameshatangaza kutomtambua meya huyo wa CCM na kwamba hawatampa ushirikiano.
Kutokana na mazingira hayo ya kuwepo kwa watu waliopoteza maisha na hata shutuma hizo za viongozi wa dini, aliyechaguliwa Naibu Meya, Michael Kivuyo wa TLP, alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo.

Hata hivyo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati sakata hilo kwa kukutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema na Nahodha. Vilevile, Pinda anatarajiwa kukutana na viongozi wa Chadema
 
Nimekusoma LAT,Wana Jamvi tunatakiwa tujifunze Kupost vitu vilivyokamilika unajua inaudhi unasoma Tittle inakuatract afu unaingia unakuta kilichomo hakirelate kabisa na Tittle.

pole sana mkuu.... kuna kitu kinaitwa.... "invitation to treat"......never mind hiyo ni trick ya wajasiriamali wa aina yeyote.. hata kwenye siasa kuna wajasiriamali
 
This is rubbish!!!!. Kwani huyu Membe ni waziri wa nini na suala la mauaji ya Arusha linahusu wizara gani. Kwa hiyo tuseme Membe anakaimu wizara ya mambo ya ndani au ndio IGP.
Unajua mimi nimekuwa siku nyingi sana najiuliza juu ya upeo wa Membe na huyo aliyemteua kuwa waziri wa ndani. Anyway, haishangazi sana kwani hata huyo aliyemteua alikuwa wizara hiyohiy.o
 
Ivi kuna watu wazembe wa kusoma ehe? Yani taarifa nzima ya mporipori hujaona quotations kibao au? Au mnataka achore na mdomo wa membe ukitamka kauli alizoziquote mleta mada? Read between lines utaona zimo kauli,si kubeza mleta mada bwn! Mleta mada ebu pigia mistari kauli nakili,ili watu wasisumbuke,rekebisha ndo wachangia mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…