Serikali yataja wamiliki wa Dowans

TANleaks

Member
Dec 22, 2010
24
0
Serikali imetaja wamiliki wa Dowans na kisha kufafanua namna mgawo wao wa fedha utakavyokuwa. Kwa taarifa zaidi subiri magazeti ama nenda THE GUARDIAN WEBSITE
 
Serikali imetaja wamiliki wa Dowans na kisha kufafanua namna mgawo wao wa fedha utakavyokuwa. Kwa taarifa zaidi subiri magazeti ama nenda THE GUARDIAN WEBSITE

hakuna webiste ya the Guardian. Ni IPP Media. Watungine bwana. Au mabomu ya machozi sio bado yapo machoni?
 
nashangaa watu wanahangaika weee na ma document makubwa makubwa na wengine wanasema eti ni kampuni ya JK!


wenye Dowans Tanzania mkitaka majina yao nendeni jengo la Ushirika pale Lumumba ofisi za BRELA mtazame MEMARTS mtaona

how hard is that?

Ikishindikana si mumuulize BADRA MASOUD wa TANESCO atakuambieni owner wa Dowans ni nani

its not that hard is it?

Halafu hata mkishawajua wenye Dowans ili iweje? as far as I know they are not criminals na sio wao walio sign hii mikataba

wabaya wenu mnawajua sema hamtaki kuwataja wala kuwatafuta

nao ni ma Lawyers walio negotiate huu mkataba on behalf of serikali na pia walio pitisha huu mkataba

you cant pick and chose nani mnataka kumjua na kumlaumu
 
Wamechukua muda mrefu sana kuwataja wamiliki na hawa wamepachikwa tu. Hebu wanajamii tufuatilie hili kwa karibu hili suala.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom