Serikali yasitisha uzalishaji wa dhahabu ktk migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Hii ni kutokana na kuvunjwa kwa TMAA hivyo hakuna chombo cha kusimamia suala hilo.

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ametoa maagizo hayo alipotembelea mgodi huo.

Aidha ameagiza dhahabu ambayo tayari imeshachimbwa isisafirishwe hadi hapo maagizo zaidi yatapotolewa.

Chanzo: ITV
 
Kwani TMAA imevunjwa au ni bodi ndo ilivunjwa na Mkurugenzi Mkuu kusimamishwa...kwani hakuna aliyeteuliwa kukaimu.

Mbona ni buzwagi na buly tu...migodi mingine Je???uchenjuaji unaofanywa na wachimbaji wadogowadogo je??wao hawakaguliwi na TMAA???

Napata kizunguzungu na utendaji wa watendaji wa awamu ya tano..
 
Umenikumbusha jamaa walivyokuwa wanampigia deki mamvi
Kwahyo we unaona sawa tu kusupport chama kilichotufikisha hapa tulipo??? Yaani mnacheka waliotala mabadiliko ya kweli nje ya ccm mkakumbatia magamba ona ssa leo hii kila mtu anaona jinsi mlivyouza nchi yetu kwa mikataba mibovu......

Kma wadeki barabara wangeshinda wangerudisha ile Rasimu ya warioba ambayo ingesaidia kuzuia such contracts maana ingekuwa reviewed bungeni kwanza ila chama unachokishabikia kilizuia mchakato huo na kufuta hivo vipengele then wwe unaona sifa tu kuendelea kuwakumbatia

Bas sawa na tuibiwe tu mpaka tunyooke kma akili za watz ni kma zako hizi
 
Hii ni kutokana na kuvunjwa kwa TMAA hivyo hakuna chombo cha kusimamia suala hilo.

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ametoa maagizo hayo alipotembelea mgodi huo.

Aidha ameagiza dhahabu ambayo tayari imeshachimbwa isisafirishwe hadi hapo maagizo zaidi yatapotolewa.

Chanzo: ITV
Serikali Haijasitisha UZALISHAJI wowote bali ni ile PROCESS zinazohitaji UTAALAM wa maofisa wa TMAA ambao kwa sasa hawapo. KUSITISHA mana yake KUFUNGA. Hakijafungwa.

Mawe yataendelea KUSAGWA lakini USAFIRISHWAJI wa dhahabu NJE ya MGODI umesimamishwa kwa muda ikiwa ni pamoja na process ya kutengeneza FINAL PRODUCT ya MATOFALI ya dhahabu mpaka watakapopata MAAGIZO mengine ya Serikali.

Agizo hilo ni pamoja na KUYAFUNGIA MATOFALI ya dhahabu yaliyokwisha ZALISHWA mahali maalumu na ULINZI TAYARI umewekwa.
Lakini Mgodi HAUJAFUNGWA.
Hivyo ndo nilivyoelewa taarifa yenyewe.
 
Kwahyo we unaona sawa tu kusupport chama kilichotufikisha hapa tulipo??? Yaani mnacheka waliotala mabadiliko ya kweli nje ya ccm mkakumbatia magamba ona ssa leo hii kila mtu anaona jinsi mlivyouza nchi yetu kwa mikataba mibovu......

Kma wadeki barabara wangeshinda wangerudisha ile Rasimu ya warioba ambayo ingesaidia kuzuia such contracts maana ingekuwa reviewed bungeni kwanza ila chama unachokishabikia kilizuia mchakato huo na kufuta hivo vipengele then wwe unaona sifa tu kuendelea kuwakumbatia

Bas sawa na tuibiwe tu mpaka tunyooke kma akili za watz ni kma zako hizi

Kumzungushia mikono Fisadi uliona sawa!!
Yaani Ukatae mkojo ukubari kinyesi!!
hizo akili mkaenazo hukohuko
 
Kuhusu madini hata hao STAMICO nao wamulikwe, siyo wasafi sana.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe nyamaza, mlipo msajili fisadi mlipenda mchezo wake wakifisadi na magoli yake ya Richmond? ,nahapo usiseme maana nyinyi Nyumbu mlituambia mpaka ushahidi mnao.
 
Back
Top Bottom