Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
huo ni uongo wa ccm wangetuambia watapunguza kwa asilimia ngapi hadi kufikia shs ngai kwa lita. kusema tu jumla jumla tu huo ni wizi.
Na hiyo hairusiwi maana nasikia shida za watanzania CDM wana hati miliki kwa hiyo hairuhusiwi mtu mwingine kuzishughulikia.Taratibu yaliyosemwa na CDM yatajumuishwa kwenye bajeti hata kama mengine yatafanywa kimyakimya.
ccm wamepunguza kodi kwenye petrol kwa shilingi around 200 na diesel around 300,halafu kilaza mkulo anasema wana mpango wa kuongeza kodi kwenye mafuta ya taa ili yakaribiane na petrol ili wasichakachue,..kilaza mkubwa...
Naona bado ni siasa tu kwani hajaweka clear,kwasasa bei ya Diesel inarange tsh.2030 hadi tsh.2100,
Na hiyo hairusiwi maana nasikia shida za watanzania CDM wana hati miliki kwa hiyo hairuhusiwi mtu mwingine kuzishughulikia.
Duh poleni watanganyka wenzangu,hii ni bei ya Dom,kumbe bei mafuta ni janga la kitaifa.Hii ni bei ya wapi mkuu? Mwanza ni tsh. 2120-2500