Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
tatizo lao hawatoi habari za uhakika na makini kama vyombo vingine vya habari kama habari leo,uhuru na redio imaanNikikumbuka kuhusu mwanahalisi kufungiwa kwa sababu za kijinga km hizo huwa nalia mpaka basi
tatizo lao hawatoi habari za uhakika na makini kama vyombo vingine vya habari kama habari leo,uhuru na redio imaan
Mwanahalisi msijali, hiyo ndio stail ya utawala wa serikali za kishetani, lakini menemene tekeli na peresi.
kwa nini......najipa rahaWee ndo kilaza kweli!! Wakati dunia inasonga mbele wewe uko speed ya 200pkm kurudi nyuma.
[COLOR=#343434 said:Alisema sababu walizotumia [/COLOR]viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kulifungia gazeti la hilo sio za kweli akidai kilichoandikwa na gazeti hilo kilikuwa ni ukweli ambao umethibitishwa na Dk. Ulimboka.
kwa hiyo ukilia inasaidia nini?Nikikumbuka kuhusu mwanahalisi kufungiwa kwa sababu za kijinga km hizo huwa nalia mpaka basi
Wewe nii mtabiri? SISIEM haiwezi kushindwa milele,labda mtafute mbinu nyingine!Nakuunga mkono mkuu. Kweli mene,mene tekeli na peresi, Danieli 5:25- 28. Wenye kutambua majira na nyakati wanaelewa kinachoendelea. Mwisho wa waovu katika nchi hii umekaribia