Waziri wa mambo ya ndani mh. Mathias Chikawe ametoa tamko la kupiga marufuku wale wote wanaohusika na upigaji ramli kwa nchi nzima kuacha mara moja, ili imetokana na wapiga ramli kuwapotosha na kuwadanganya wateja wao ili kuwa poteza ndugu zetu wenye albinism.
Chanzo: TBC habari
Chanzo: TBC habari