Serikali yapata gawio kutoka PUMA na TIPER

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
GAWIO KWA SERIKALI KUTOKA PUMA na TIPER:

Serikali ina hisa ya 50% kwa kila Kampuni hizi ambazo ziko chini ya Wizara ya Nishati na Madini.

Leo, Alhamisi, 09 Juni 2016, PUMA imetoa Gawio (dividend) la Tshs 4.5 billion na TIPER imetoa Tshs. 2 billion.

Benki ya NMB imekabidhi Sh16.5 bilioni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango amepokea jumla ya Sh23 Bilioni ikiwa ni gawio kutokana na uwekezaji katika mashirika ambayo serikali ina hisa.

Tutaendelea kusimamia mapato ya Serikali kutoka vyanzo kama hivi na vingine.

=================

13346807_10154241198464339_6302642916097259224_n.jpg

13413583_10154241197934339_7572077373464147762_n.jpg
 
Mbona kidogo sana ukilinganisha na umiliki wa hisa serikali inazomiliki?
 
Mbona kidogo sana ukilinganisha na umiliki wa hisa serikali inazomiliki?
 
Magufuli amewafanya watu wawe waoga kutafuna fedha za serikali. Nchi lazima isonge mbele
 
Mbona kidogo sana ukilinganisha na umiliki wa hisa serikali inazomiliki?

Si bora hata hizo kidogo mwaka huu zimepatikana kuliko kwanza zilikua hazijulikani wapi zinaenda
Hongera kwa kusimamia
 
wakanunue madawati, ni wajibu wa serikali.

..sio mpaka harambee na hisani za kamati za harusi na wasanii wajitolee kununua madawati...
 
Back
Top Bottom