Serikali yaondoa zuio la kuuza mahindi nje ya nchi

Mwezi mmoja au miwili
Chakula kitakua kimekwisha
Wenye pesa wamehifadhi kusubiri bei halisi ya gunia 120,000
Mkulima hanaga faida mfanyabiashara ndo mwenye faida
 
Huku mwanza leo gunia la mahindi limepanda kwa elfu tano, hali ikiendelea hivi bei ya unga itafika elfu mbili

Acha ipande maana bidhaa zote za viwandani bei zake ziko juu na hakuna ruzuku kwa mkulima. Ukiangalia bei ya sukari, bati, petrol vyote bei ziko juu. Lakini eti bidhaa za mkulima ndio bei che. Kila mtu akalime kama ataona bei ya chakula ipo juu lakini sio kutulalia wakulima. Natamani bei ya gunia la mahindi irudi kuwa zaidi ya laki. Wakulima tumechoka kuvuja jasho bila kuona faida yake huku watu wanaokaa maofisini wakinawiri kwa vyakula vya bei rahisi.
 
Hii ni "rushwa ya kisiasa " ya serikali ya CCM kuogopa kipigo ktk kura za uchaguzi mdogo wa madiwani maana kilio kikubwa ngazi ya chini za uongozi ni suala la wakulima kuzuiwa kuuza mazao yao wakati serikali haichangii ruzuku ktk pembejeo za kilimo lakini inazuia wakulima kuuza mazao yao sehemu /masoko yenye bei nzuri ndani na nje ya nchi.

Sep 2017
Mkoa wa Ruvuma umefikia lengo ya ununuzi wa mahindi waliyopanga kununua katika msimu huu wa mavuno kwa vituo vyote ambayo viliteuliwa rasmi na hifadhi ya chakula ya mkoa.

WAKULIMA WAMJIA JUU MKUU WA MKOA KUHUSU SOKO LA MAHINDI

Source: Ruvuma TV
 
Habari ya usiku wakuu, kama kichwa cha thread kinavyosema "Je ni kweli mipaka ya nchi kwa ajili ya kuuza mazao nje ya nchi imefunguliwa?"

Leo mchana nilikuwa mgahawa fulani nakula chakula nikawasikia watu wanazungumza kwamba kwa sasa watanzania tumeruhusiwa kuuza mazao yetu hususani mahindi nje ya nchi toka juzi.

Nahitaji kufahamu kama tetesi hizi ni za kweli au ni stori za vijiweni tu. Wale wenye taarifa kamili msaada please!
 
Serikali ya CCM ina hali ngumu tukielekea ktk uchaguzi mdogo wa madiwani Nov 26, 2017 na kuamua kufanya "kampeni ya rushwa" ya kuondoa zuio la kuuza mahindi.

Tazama Jinsi CHADEMA Walivyo Vunja Ngome ya CCM URAMBO
, Kampeni Za Udiwani

source:Bongo effect
 
Ndiyo, kuna uzi upo humu unazungumzia hayo mambo, hebu pekuapekua kwenye makablasha hapo utaona.
 
Huku mwanza leo gunia la mahindi limepanda kwa elfu tano, hali ikiendelea hivi bei ya unga itafika elfu mbili
Acha ifike hata elfu 4, watu wa mjini hakuna mnachofanya zaidi ya kunyonya wakulima
 
Mkuu kwani kufungiwa kuuza nje ilikuwa ni kwa mazao ya chakula pekee au hata mazao ya biashara??
 
Ikitokea njaa tunarudi kuhirushia serikali lawama.
Jua kwamba kilimo ni biashara, siyo huduma
Serikali imeondoa zuio la uuzwaji wa mahindi nje ya nchi lililokuwa limetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwezi Juni mwaka huu,

Hii ni kutokana na nchi jirani kuwa na mahitaji ya chakula na malalamiko ya wakulima juu ya kukosekana kwa soko la ndani la uhakika kwa mazo yao

Waziri wa Kilimo akichangia mpango wa bajeti ya mwaka 2018 iliyopendekkezwa amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya tathmini kwenye chakula cha ziada kilichopo nchini kwa sasa

Waziri huyo amewaambia wakuu wa Wilaya na mikoa kuruhusu mazoa hayo kuuzwa nje bila vikwazo

Wabunge walikuwa wakilalamika juu ya wakulima kuzuiwa kuuza mazaoyao nje baada ya mavuno ya kutosha

=========================================================

The lifting of the June 2017 ban has come as a blessing to some needy East African countries and Tanzanian peasants who have been complaining over unreliable markets for their produce.

Agriculture Minister Dr Charles Tizeba, debating the 2018 fiscal budget draft and proposed National Development Plan in the National Assembly here yesterday, said the move follows an assessment on the current food stock against A budget for maize purchase.

“We have buffer maize harvests, which we cannot afford buying exhaustively...we have opened up doors for exports to allow farmers to proceed with the next farming circle, smoothly,” said the minister.

He however noted that NFRA was still buying the food crop in Njombe, Ruvuma, Rukwa and Songwe regions, which have produced in plentiful.

Dr Tizeba ordered Regional and District Commissioners to allow smooth exports of the produce, warning against re- strictive haul of maize consignments from one region or district to another.

Members of Parliament had been complaining over bumper maize harvests, amid shortage of markets, arguing that the produce could not be consumed internally, with some dishonest traders using unofficial routes to smuggle the food.

In June this year, Prime Minister Kassim Majaliwa imposed the ban on maize exports, saying the government was still collecting data on food adequacy in the country before lifting the export ban.

The premier said by then the Democratic Republic of Congo (DRC) and South Sudan had officially requested for maize supplies.

“This shows that food situation in the region is not good and exports continue unabated, we may soon experience serious shortages across the country,” Mr Majaliwa was quoted as saying and urging people willing to export maize to freely do so but subject to securing approval from the agriculture ministry.

On tobacco marketing, Dr Tizeba said he had given the Tanzania Tobacco Board until today afternoon to submit to him a detailed report on the scope of purchase, amount and prices offered by firms that have shown interest to buy the cash crop.

He said the government is as well looking for other foreign markets to assure farmers of reliable market during harvesting season.

Moreover, he said, from now on the agriculture inputs including manure and urea will be available throughout the year unlike the current trend of availing them only during farming season.

Livestock and Fisheries Minister Luhaga Mpina said the government has confiscated 10,000 herds of cattle from Rwanda and Uganda, saying they will be auctioned soon.

“We have to learn to respect each other’s boundaries, rules and regulations that govern the livestock sector...about 30 per cent of feeding land for cattle is serving animals from the neighbouring countries, this should never continue unchecked,” said Mr Mpina.

He said Tanzania has good diplomatic relations with her neighbouring countries but ruled out felony bond. “We have auctioned 1,325 cattle and burnt 6,400 illegally imported chickens from Kenya to control diseases as per poultry importation ban of 2016 following the bird flu outbreak,” said the minister.

He said the Ministry of Foreign Affairs and East Africa Cooperation had alerted all cattle owners in the region before the exercise. Some trespassers withdrew their livestock from the reserve areas and the defiant had their cattle confiscated.

Source: Daily News
 
Nilishazungumzia nyumba ya mwanamke mpumbavu anayevunja nyumba kwa mikono yake mwenyewe. Biblia inasema mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Nov 13 , 2017

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza yafuatayo Uchaguzi wa Udiwani
November 13 2017 Tume ya Taifa ya uchaguzi imefanya mkutano wake na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mdogo wa madiwani November 26 2017.

Source: millard ayo
 
Back
Top Bottom