RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Serikali yaombwa kuingilia kati suala la wanafunzi zaidi ya 800 kati ya 2600 wa shule mbili za msingi za Muheza na Masuguru zilizopo makao makuu ya wilaya ya Muheza kulazimika kukaa chini.
Wanakalia Majamvi kutokana na kukabiliwa na uhaba wa madawati.
Pia wanakabiliwa na tatizo la uhaba wa vyoo hatua ambayo imesababisha baadhi yao kwenda kujisaidia vichakani na kuhatarisha afya zao.