Serikali yakwama Mahakama Kuu

Serikali yakwama Mahakama Kuu

...nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akutilie wepesi katika mtihani huu ulio mbele yako na innshaalh haki itasimama upande wako...
 
pole sana yote ya mwisho kama yalivyoanza, naamini utafanikiwa... tatizo la serikar yetu wanakuwaga na maanuzi ya hapa hawaangalii mbele kutatokea nini!!!!
 
Kamanda pole,mambo yataenda fresh..nakuaminia ila ULIMBOKA kawaangusha watanzania.
Unafikiri kitu kama hiki ni mchezo, lazima uwe mpole ukitafakari plan B. Wala hajawaangusha wa TZ
 
Last edited by a moderator:
Kamanda pole,mambo yataenda fresh..nakuaminia ila ULIMBOKA kawaangusha watanzania.

Ulimboka kawaangasha watanzania au watanzania ndio wamemwangusha Ulimboka. Mbona tunapenda sana kufanyiwa kila kitu huku sisi tumekaa kama maboga?
 
Mkuu Ulimboka alifanya sehemu yake na jamii ilitakiwa pia kufanya katika nafasi yake. Huduma bora za afya haikuwa ni kwa manufaa ya Uli bali sisi wote.

Du shukrani mkuu kwani mimi watanzania huwa sielewi wanataka kufanyiwa nini!
 
Pole sana kamanda, imefika wakati akija mgojwa gamba unammaliza taratibu, maaana tumechoka sasa hatuna namna!
 
Pole sana kamanda, imefika wakati akija mgojwa gamba unammaliza taratibu, maaana tumechoka sasa hatuna namna!

Mkuu tunatoa huduma bila kujali dini, itikadi, rangi wala kabila. Ndio maadili ya kazi kwa watumishi wote wa umma.
 
Mkuu hajaachwa peke yake hata gharama za kufuatilia kesi pamoja na wakili zimesaidia kuchangiwa na madaktari wenzake. Hata Dr.Godbless ataweza kuthibitisha hili. Sio uungwana kumwachia peke yake jambo lililopo mbele yetu. Hakuwa anapigania maslahi binafsi.
kumbe mkuu na wewe ni daktari
 
shule usome wewe zaidi ya miaka 5 kupata degree ya udoctor halafu MICCM inakukataza kutibu.....shame to them!
 
Nchi hii ilivyo na uhaba wa madaktari bado serikali inatumia vibaya wale wachache iliyonao?? kweli Tanzania inahitaji mabadiriko ya haraka ..Pole sana Dr ni vikwazo vidogo tu maishani, na hivi wewe bado mzalendo maana wengine wangekuwa wameishakimbilia nchi za watu kuomba kazi
 
Back
Top Bottom