Hahahaha karibu kule tuyamalizeWewe ni mwehu kweli
Mliyaanza pamoja kwani?Mkuu, sikuoni kwenye ule uzi wa LOWASA kuhamia UKAWA.... karibu kule tuyamalize
Ile U-TURN iliyopigwa inahitaji maelezo kidogo, si kwa unafiki ule. Nimemuita akafanye clearance ya ule uchafu kule at least he/she has to admitMliyaanza pamoja kwani?
Au wakati mnayaanza ulikaribisha pia??
Wewe unaongea zaidi kwa mhemkoa ndiyo maana unatumia maneno ya kejeli ebu tuambie ni hospitali ipi ulienda ukakosa dawa?Heshima kwenu wana JF.
Serikali yajikanyaga yenyewe
Waziri Ummy amekanusha taarifa zilizokuwa zimeenea kwamba kuna uhaba wa dawa za binadamu na kusisitiza kuwa, zipo nyingi na zinaendelea kuingia nchini. Pia, Waziri huyo alithibitisha kuwapo vifaa tiba vya kutosha na kwamba, chanjo za watoto ndizo zilikuwa zimeisha lakini hivi sasa tayari zimeletwa.
Dar es Salaam. Baada ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kusema kuna dawa za kutosha nchini, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa dawa unaojitokeza hivi sasa ni wa muda mfupi.
Waziri Ummy amekanusha taarifa zilizokuwa zimeenea kwamba kuna uhaba wa dawa za binadamu na kusisitiza kuwa, zipo nyingi na zinaendelea kuingia nchini. Pia, Waziri huyo alithibitisha kuwapo vifaatiba vya kutosha na kwamba, chanjo za watoto ndizo zilikuwa zimeisha lakini hivi sasa tayari zimeletwa.
Hata hivyo, kauli hiyo inakinzana na ya Samia aliyoitoa wakati akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa wodi ya wazazi Hospitali ya Mwananyamala.
Samia alisema ukosefu wa dawa unaojitokeza hivi sasa ni wa muda mfupi, kwani Serikali inajipanga kuondoa tatizo vifaatiba.
Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo baada ya kuelezwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk Daniel Nkungu kuwa wamekuwa wakikabiliwa na upungufu wa dawa.
Samia amesema licha ya Serikali kujipanga kukabiliana na tatizo hilo, uongozi wa hospitali hiyo unatakiwa kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato.
#My take -hizi ndo hasara za kufanya mambo kwa kukurupuka watapishana sana kauli mwaka huu dawa ni kweli hamna hospital lakini sijui wanaficha nini?
Zile pesa za kununua ndege mngeenda kununua dawa ni aibu sana.
Mhemkoa? Kiluga au? We si unatibiwa Aghakhan hawezi experience hicho kitu.Wewe unaongea zaidi kwa mhemkoa ndiyo maana unatumia maneno ya kejeli ebu tuambie ni hospitali ipi ulienda ukakosa dawa?
Imejichanganya katika lipi?Serikali Inajichanganya!
Ni Babeli Sehemu II (The ancient Tower of Babel and subsequent confusion)huyu ummy huyu,magu alisema fyatueni watoto mtakavyo yeye akaja kumlisha maneno eti alikuwa anawatania wandengereko,samia anasema hakuna madawa yeye anasema zipo
aangaliwe huyu,this is insubordination..anapenda kupingana na wakuu wa nchi!!!!!!
unganishaKwani mada kama hizi haziwezi kuunganishwa ili tupate mwendelezo wa mawazo?
Weka ushahidi basi manake ninavyofahamu mm siku hizi hakuna matibabu ya bure,ispokua kwa makundi maalum,(wazee wa umri fulani na watoto wa Chini ya Miaka 5) wengine waliobakia wanapata matibabu kwa kuchangia gharama za matibabu kwa mantiki hiyo ukiacha makundi niliyotaja na wale wa chanjo,mtu mwingine anaweza kwenda kutibiwa hospitali tofauti na za Serikali kwa kutumia kulipa cash au bima ya Afya.Hivi sasa bima ya inapatikana kwa waajiriwa na waliojiajiri kwa hiyo ni wakati mwafaka sasa kila mtanzania kujitahidi kuhakikisha anajiunga na bima ya afya ili awe na Uhuru wa kutibiwa sehemu tofauti na hospitali za umma iwapo kutakua na changamoto za uhaba wa dawa.Mhemkoa? Kiluga au? We si unatibiwa Aghakhan hawezi experience hicho kitu.