Serikali yaiagiza Hospitali ya Taifa kutotoa vibali vya matibabu nje ya nchi kama uwezo wa kutibiwa nchini upo

Na yule aliyemtuma katibu wa chama chake kwenda india kwa matibabu ndio itakua basi tena.
 
Ngoja tusubiri aumwe yy, mwanae, mumewe, baba au mamake tuone. Tumechoka na usanii.
 
Hebu na tuelimishwa sawa sawa hapa, hivi mheshimiwa anakataza watu wasiende nje kwa matibabu japokuwa wakiwa wanajilipia wenyewe na sio serikali?
 
Uduma zenyew mwimbili mbavu mifoleni apo jama lazima ulie jaman ukifik pale saa kumi na Moja alfajil kupima tu tegemea kulala uko uko walahi mfyuuuu mm zngu Aku st kizito wakishindwa naenda nje maan madoct wa kizito ni genius pesa si zngu
 
Back
Top Bottom