Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Fikra mlazo upo?, pamoko sana.Mnachotaka kumbe ni kuenea tu?asa ndo mpaka muibe na muue kama magaidi jamani?kumconvince mtu hamwez mpaka fujo?mwanamke akigoma unapomtongoza huna haja ya kumbaka.
Siyo kweli kabisa. Hivi dini inayohimiza WEZI WAKATWE MIKONO NA MIGUU na MZINZI MWANAMKE AFUKIWE CHINI NA KUPIGWA MAWE KICHWA na KULIPIZA KISASI nayo ni dini inayohubiri UPENDO!!!!! Inayosema MWANAUME ANAWEZA KUGAWA PENZI KWA WAKE MPAKA WANNE nayo inahubiri upendo!!!! Acha hizo bwana!!!.....Dini zote huwa zinahubiri amani., upendo ila wachache wanabadili maandiko ili kukidhi maovu yao!
Kwa mtizamo huu tutafika kweli!!??? Nadhani tatizo ni uwepo wa wasomi wa sheria wanaotoka dini hiyo, full stop. Mambo mengine ni brabra za vijiwe vya kahawa na kashata.Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu
Ndugu zangu. Nawaomba wale wote mnaoweza kumtetea Ndugu Ponda dhidi ya mashitaka anayokabiliwa nayo, basi aende kule kotini akawasiliane na wakili wa utetezi ili apewe nafasi hiyo. Vinginevyo tukikaa tu na kuendelea kumtetea kupitia JF ambako hakuna kesi dhidi ya Ponda, tutasababisha mtu huyu afungwe kwa kukosekana ushahidi wa kumtetea, halafu ndio tutaendelea kulalamika zaidi kwamba kaonewa. Haya shime, katoeni ushahidi Mahakamani utakaomsaidia ku counter hoja zilizowasilishwa hapo Mahakamani dhidi ya mtu huyu. Kumtetea Ponda humu JF hakumsaidii kabisa kwa sasa, ni sawa na kupiga kelele tu, halafu mwisho wa siku akapigwa mvua hivi hivi kwa uzembe wenu wenye ushahidi wa kumuokoa.
Kuwa na adabu, imeandikwa anakabiliwa na tuhuma za wizi, hizo tuhuma bado hazijathibitika pasipo na shaka. Mwizi baba ako..!
Mkurugenzi wa mashtaka aliyezuia dhamana ni mkristo,Wakili wa Serikali mkristo,Hakimu anayeongoza kesi Mkristo.Waislamu mnaona hichi kitu
waislamu mko juu ccm inawaogopa sana kwani ndio mnayoiweka madarakani komaeni Ponda shujaa anatoka kwani nae alipigia ccm kampeni tusimchague Dr Slaa ataleta ukatoliki shime waislamu ccm inawaogopa
Hapo chacha, kunya anye kuku Mwana, akinya bata kaharishaBaba yake ameshathibitika au na yeye ni tuhuma?
ni tatizo kubwa kujadiliana na kifuu cha nazi badala ya kichwa. hivi hujui bakwata imejivika kila kitu cha waislamu? utaenda mahakama ipi usikilizwe. unajua wameuzi vingapi na mahakamani hapakusaidia? niondolee utaahira wako hapa.Usimhukumu mtu kwa dini yake,sasa unachokitetea hapo kitu gani?
Maswali ya kujiuliza:-
1)Bakwata waliuza eneo hilo kwa mmiliki mwingine kwa kufuata kanuni na sheria za nchi?
2)-Kama ndio je utaratibu mnauchukua kwa kudai eneo la mmiliki mwingine ni za kisheria au za kihuni?
3)-Kama sio kwa nini msiende mahakamani kwa kufuata taratibu zilizopo kudai hizo mnazoziita ni haki zenu.
Nchi haindeshi kwa matakwa ya mtu/dini/kikundi au chochote kile cha kufanana na hivyo,nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na usipozifuata yatakukuta kama ya Ponda na wengineo.
wakili mkirsito. Jaji mkiristo dhidi ya sheikh. Angalikuwa padri upesi wangalisema hana kesi ya kujibu. Mwalimu nyerere mungu amrehemu. Katuachia matatizo malkubwa ya udini hapa tanzania
Kuwa na adabu, imeandikwa anakabiliwa na tuhuma za wizi, hizo tuhuma bado hazijathibitika pasipo na shaka. Mwizi baba ako..!
kumbe Ponda mbali ya ugaidi pia mwizi??hawa watu wanatumia dini ku cover maovu yao??Dini zote huwa zinahubiri amani., upendo ila wachache wanabadili maandiko ili kukidhi maovu yao!
ndio maana tunaamua kuwachomea madhahabuni pamoja na makanisani mwenu mmezidi kuzusha tuhuma zidi ya waislam
sasa ngoja mzidi kutuchokoza tuhamasishane tuone kama mtatoka majumbani mwenu
marekani na nguvu zake zote lakini bado alqaida inastawi tena mara hii ni africa kwa kuibuka vikundi kibao mpaka hela zao za kodi zina ishia kupigana na sis lakini wana blo sasa subirini vijana warudi kama kila siku hamtakuwa mna changisha fedha kwaajili ya kujenga makanisa
Wanaotenda maovu,na wale wanaoshuhudia maovu pasi na kuchukua hatua japo kwa kukemea tu pia nao ni waovu wenye hatia!hiyo impact kama ni negative wala siyo kitu cha kujisifia kabisa.
mtawajumuisha mpaka na wale wasio na hatia.
Hili la ugaidi nitalikanusha baadaye coz bado nalifanyia uchunguzi.! Kuhusu udungu ni kweli ni ndugu yangu maana waislamu wote ni ndugu na ndo maana hata yesu ni ndugu yangu..! Naomba pia nifafanue zaidi ya kuwa gaidi siyo ndugu yangu..!ha ha ha, una undugu naye nini? mbona la ugaidi hujakanusha..punguza hasira