Kimsingi hilijambo lina tisha but kumbuka hawa watu huenda walishindwana katika bomu au kuteka njia hivyo katika purukushani yakatokea yaliotokea but,hali nimbaya migodini hakuna ubinadamu kule na serikali haina habari kule kuna unyama wa kila aina watu wasiojua utu wapo huko hapo kwa chusa wapo 'VIRENGA' kama Mangi Meli, Daudi kwa kweli sijui mimi nafikiri kama isipo angalia madhara makubwa yaja