kandabongo
New Member
- Jul 23, 2013
- 2
- 1
Huo ni upepo tu, baada ya siku mbili ukishapita mgodi wataufuungua!!!! Ndiyo serikali yetu hiyo, never mind its people, hasa kama huna hela!! Wenye hela wanapeta kila kona, kuanzia hata katika sharia na mambo mengine!! Kimemo kitatoka juu!! Subiri mkuu uone na kusikia kwa macho yako.
sikuwa nimeinyaka vizuri, kumbe ni ya walala hoi imefungwa? Kwani hicho kifo cha mtumishi kimesababishwa na hao watumishi wa migodi midogo? Au ndiyo mlamgo wa kutokea kuwazuia hao wadogo na kesho viwanja vyao wanapewa hao mafisadi wa tanzania one!!!? So sad!
huo ni upepo tu, baada ya siku mbili ukishapita mgodi wataufuungua!!!! Ndiyo serikali yetu hiyo, never mind its people, hasa kama huna hela!! Wenye hela wanapeta kila kona, kuanzia hata katika sharia na mambo mengine!! Kimemo kitatoka juu!! Subiri mkuu uone na kusikia kwa macho yako.
kila chenye mwanzo kina mwisho wake