Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,548
Serikali ktk mkakati wake wa kubana matumizi imeanza kutumia teknolojia ya Video Conference vizuri na leo kimefanyika kikao cha viongozi wa idara mbalimbali kutoka mikoa mitano chini ya waziri Kairuki huku kila mmoja akiwa mkoa kwake huku wakiongea uso kwa uso.