Nchi nyingine wanasema reselve ya mafuta tanganyika ni kbwa saana ila they dont show us! Znz hamna kitu kule!
Hizo zitakuwa takwimu za kupikwa hazina uhalisia wowote.
Nchi nyingine wanasema reselve ya mafuta tanganyika ni kbwa saana ila they dont show us! Znz hamna kitu kule!
kama hujui ata kinachjadiliwa ni heri kukaa kimya.hawa wazenji baraza lao halijielewi bado,si juzi tu walikua wanaunga mkono uamsho na bwana raza akaongea hadi povu likamtoka kwamba muungano unawanyonya!sa iweje wajadili vipengele vya muungano kama muungano hawautaki?
Mishahara iko juu sana ukilinganisha na urojo wa znz tuna wazeNji kibao hapa wanatafuta maisha huku wamechoka kupiga DOMO Zenji.zanzibar wabakie na mafuta yao na bara wabakie na yao kupata 3% ya madini ni funzo tosha sitashaangaa na mafuta wakipata 0.5%
Hata kama mafuta na gas yalioko ni kama mfano wa kikombe cha kahawa haijalishi, tunachohitaji ni kutolewa ktk orodha ya mambo ya muungano.
Msituzuge hata kama hakuna mafuta Zanzibar hamuwezi kututeka kimawazo kwa propaganda zenu Watanganyika.
JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA upuuzi na propaganda zenu baadae.
Sidhani kama wazenj watabadili msimamo wao kwa propaganda hizi
Mbona unajichanganya, umesema mafuta na gas bwelele mara wanatafiti hawajaanza kuchimba , wewe una uhakika kuwa znz hakuna mafuta! yaani watu wangekuwa na walau akili wasingetaka hata tone la mafuta liwepo kwetu tutauliwa na hawa wamagharibi ! angalia bara arabu linavochemka sasa hivi kisa mafuta, na huyo alosema mafuta yatakauka anacheksha kweli!
Ile ni zawadi waliyopewa waarabu kutoka kwa Mungu wasaidie waislamu wenzao, na laiti waarabu wangekuwa wanafanya jinsi Mola wao alivowajaalia hayo mafuta sidhani hata kama kuna kiumbe wa kiislamu angelala na njaa, lakini badala yake wanayafuja mafuta pesa wananunu timu za mipira, kualika wana muziki, kuweka na kukomba riba MWENYE EZ MUNGU NDIO ANAWAADHIBU SASA, ile ni adhabu wanayoipokea kwa kuyatumia mafuta ndivo sivyo na wasubiri mengi yataweakuta mpaka watie akili!