Serikali ya visasi mpaka lini?

Hapo umenena wakiona wafanyakaz wanalalamikia madai yao wanaazisha uhakiki wa vyeti na watumishi hewa zoez ambalo haliishi. Juz kat pia wameazisha zoez la uhakiki wa vyet vya ndoa kwa wafanyakaz sjui logic ni ipi.
 
Wenzako wote wameelewa nimemaanisha nini ndo maana wanachangia kwa weledi, isipokuwa wewe, hujioni una kasoro!
Wanachangia hvo kwa kua wote mnafanan akili fupi....mwanaume huwez lialia kama demu...kazi zipo nying tatizo mnataka kazi za sifa...mtakoma
 
huwa nashindwa kuelewa watu wanaomsifia ngosha wanatoka sayari gani maana katika hali ya kawaida kumsifia huyu mzee inabidi uwe na hitilafu kwenye mfumo mzima wa fahamu (kichaa)
Na kumuona huyu mzee hafai ni kazi ndogo tu...acha kujishughurisha na uishi kwa dada yko usubir ule bure..hapo lazima uwe na akili ya kumponda huyu mzee...lakin real guys wanapiga kazi...hata hawaoni shida toka kwa huyu mzee.
 
Kwa maneno haya unatoa tafsri ya kwamba, hiyo miaka mitatu chuoni aliyotumia kutafuta degree imepotea bure tu!! Kazi unayomuitia haina hata chembe ya uhusiano na taaluma yake.

Poor government#poor people#
Ulisha wahi kuona mwalim mpuuzi dunian...wallimu wenye sifa ya ualim....ni waelewa lakin watafta kazi hawanaga plan B...so huyu na ni mpuuzi tu kwann uache kazi na bado huna uhakika wa kazi.
 
We unadhan mbeba mizigo pesa anayopata inawezalingana na ya mwl...mwl nae ni mtu wa kumfananisha na mbeba mizigo..
 
Mbona unatokwa povu hivyo dada, vumilia, kama ni muziki ndo tu beti linaanza
 
Kazi kazi...mwenye akili timamu habagui kazi ilimrad inalipa....ova
 
Mininacho shukuru in hii kamatakamata watuchukue wrote jail ili tukale ugali wabule kwasababu tukiendelea kuwa nje tutazidi kuwa wachochezi na sio wenye njaa
 
Pole sana dadaangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…