Serikali ya Tanzania yatakiwa kutokutekeleza adhabu

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Mahakama ya Afrika kuhusu haki za binadamu na watu, imeamuru serikali ya Tanzania kutotekeleza adhabu ya kifo kwa Bw Armand Guehi, raia wa Ivory Coast, kabla ya uamuzi juu ya rufaa aliyowasilisha mahakamani dhidi ya serikali ya Tanzania.


Guehi anaitihumu kukiuka haki zake za kimsingi wakati wa kesi yake kwenye mahakama za Tanzania.

Raia huyo wa Ivory Coast alikuhumiwa kifo nchini Tanzania baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke wake mwaka 2005.


Chanzo: BBC
 
Kwani marais wa Tanzania wameanza kusaini watu kunyongwa?, ninachojua mimi marais wa Tanzania wanaweza kuamuru wapinzani washughulikiwe na wakati mwingine mpaka mauaji kutokea lakini sio kusaini hati ya kunyongwa mtu ili waonekane wema
 
Back
Top Bottom