Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,086
- 10,355
Mtandao wa X (Twitter) umefungiwa na serikali ya Tanzania, hauwezi kutumia X(twitter) ukiwa Tanzania bila kutumia VPN.
Ajabu, Rais wetu, msemaji mkuu wa Serikali yetu na Ikulu yetu ya Tanzania, hawa wote wana akaunti ambazo zipo active huko, na kupost wanapost, hii kitaalamu imekaaje?
Wanapost taarifa zao kwaajili ya nani ikiwa sisi Watanzania tumezuiliwa kutumia huu mtandao?