assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
jeshi lake likowapi?Vatican ni nchi ww sio kanisa. Au unadhani Vatican ni kanisa
jeshi lake likowapi?
Vatican ni nchi ww sio kanisa. Au unadhani Vatican ni kanisa
katiba iseme tanzania ni chi yenye dini mbalimbali nasi kusema haina dini
Tanzania ni nchi yenye Mrengo wa Kiislam, sababu wao ndiyo wenye leseni za kuchinja na kuvamia makanisa
kuwa mkimbizi vatican cityNa ndio maana haibarikiwi
jeshi lake likowapi?
ntawatuma boko haram watesti zaliUkishaambiwa liliko utafanya nini?
sasa unafanya nini hapa shame on uushaambiwa serikali haina dini...Hayo mambo yenu ya dini zenu za waarabu na wazungu msidhani kila mtu anayapenda u better keep to yourself!..kuna wengine cc ni watuhuru Mungu wangu anaitwa UPENDO!..