Serikali ya Samia , Ilizuia mara Moja Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Makao Makuu Wilaya Ngorongoro-Arusha ,iloanzwa kujengwa na Hayati Magufuli

Serikali ya Samia , Ilizuia mara Moja Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Makao Makuu Wilaya Ngorongoro-Arusha ,iloanzwa kujengwa na Hayati Magufuli

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Kumbe Hayati Magufuli, Kwa kuhakikisha Anaunganisha Nchi Kwa Barabara zenye kiwango cha Lami Tanzia nzima.

Alianzisha Ujenzi Wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami uliokua unaunganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Ngorongoro Hadi Arusha .

Aliyenipa Taarifa hiii, ambaye pia ni Kiongozi Mkubwa wa CCM na ambaye ni Mmasai anaendelea kusema

Jumla ya Kilomita 50 Kwa Kiwango Cha Lami zilikua zimeshajengwa na Hayati Magufuli Kati ya Kuanzia Mwaka 2020 mwezi wa Nne Hadi Umauti unamfika Hayati Magufuli., ikimaanisha kwamba Barabara hiyo ingekamilika 2021 .

Haya hivo, Baada ya Samia kuingia mikataba na Kuiuza Ngorongoro Kwa Waarabu , Waarabu walimtaka kusitisha Ujenzi huo wa Barabara .

Mmejiuliza kwanini wale Wamasai WAWILI wabunge, walikatwa na Rais Samia juu Kwa juu???.
 
Inawezekana kabisa Kwa Tanzania, Jamii ya Wamaasaí waishio Ngorongoro ndio watu wanaoishi mazingira Duni sana .

Unaambiwa , Si tu Rais, hata Waziri Mkuu au Waziri hawajawahi kufika huko
 
Utajengaje barabara ya lami kutoka Ngorongoro makao hadi Arusha !!

Nadhani wamekupa barabara tofauti. Ngorongoro makao ipo karibu na Karatu.

Hivi pale makao hadi getini kuna 50km....sidhani kama zinafika.

Labda hukuskia vizuri.
 
Mto wa Mbu > Selela > Engaruka > Engaresero > Sale. Unamaanisha hicho kipande kilibakiza kama 159KM.
 
Utajengaje barabara ya lami kutoka Ngorongoro makao hadi Arusha !!

Nadhani wamekupa barabara tofauti. Ngorongoro makao ipo karibu na Karatu.

Hivi pale makao hadi getini kuna 50km....sidhani kama zinafika.

Labda hukuskia vizuri.
Acha mbwembwe, Usiifatilie Ngorongoro kwenye TV , inamaana hata Hujui Makao Makuu ya Wilaya hiyo yako wapi??.

Muwe mnatembea .
 
Nimefika Ngorongoro.

Sijajua ni kwanini wale watu wamepang'ang'ania pale
Mkuu, hujasoma hata Historia kujua Shughuli za kiuchumi za Jamii ya watu wa kule ni Ufugaji? Na kwann wang'ang'anie kule?

Umewah jiuliza kwanini Wakurya wameng'ang'ania Nyamongo -Tarime ?

Au Wasukuma wang'ang'anie Geita, Kahama?.
 
Acha mbwembwe, Usiifatilie Ngorongoro kwenye TV , inamaana hata Hujui Makao Makuu ya Wilaya hiyo yako wapi??.

Muwe mnatembea .
Fair enough....Kuna mdau kanisaidia unachomaanisha. Kwa walioishi Ngorongoro ukiitaja Ngorongoro hata hatuifikirii Loliondo.

Loliondo kupitia Sale Engaruka hadi Kibaoni... wanamlaumu Rais wa sasa kwasabbu za kukatwa tu....

Kama kuna wa kulaumu ni JK.

Magufuli alipokuwa Waziri alienda kunywa kikombe akajiapiza lazima ataijenga hiyo barabara.....km 50 zilizojengwa nadhani[nadhani] zimejengwa na halimashauri....
 
Back
Top Bottom