Serikali ya Rais Samia imefilisika?

Serikali ya Rais Samia imefilisika?

Mleta mada ni mchawi tu. Ni mtu unayetamani mambo yakwame. Watu kama nyie mmelaaniwa.



YESU NI BWANA
 
Kwa hiyo kutokuwepo kwa maigizo unayoita hela heka ndio kufilisika sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Uliza wakandarasi au tembelea site.. Serikali ya Jiwe ndio ilifilisika ila sio Serikali ambayo watalii na wawekezaji wanamiminika kama hii[emoji116]
Hapo umejibu hoja masikini poor ,you
 
Magufuli na genge lake pia walicontribute Sana kuinstill hii mentality ya ucheap labour , Kwanza alikuwa aajiri na akiajiri ni wachache tena embarrassingly certificates , yaani li nchi linaendekeza mediocrity na inferiorism .Ni mambo ya ovyo Sana hii nchi .
Ukienda kwenye law enforcement na defence kama Police ,Magereza ,Takukuru ,JwTZ nalo ni hivyo hivyo , umediocrity uko embraced with full support , yaani imefikia level nchi hii ukiwa na elimu wewe ni outlaw, kupata ajira ni kama unabeti
Sijui shida iko wapi
 
nafikiri lengo la ujumbe wako ni kuhusu ajira za jana, ilo la barabara umechomekea tu

kiukweli kuajiri mtu wa 2021 ukamuacha wa 2015 ni us*nge wa hali ya juu
Innocent Bashungwa Ni Useless kabisa
 
Hope mko poa

Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.

Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.

Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.

Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)

Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.

Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri

Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.

Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa

View attachment 2274041

Jiwe alifisika akaanza kukwapua hela kwenye akaunti zetu sheitwaniiiii yule.
 
Mbio za sakafuni……..

Kila kitu kitakuwa wazi muda si mrefu.

Kwa sasa bado wapo in denial
 
Huwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja,hizo resources yeye atazitoa wapi-mna taka ajira at the same time unataka Barabara,SGR,Bwawa vyote vitekelezwe.
Ebu jaribu wewe mwenyewe kwa kipato chako ulicho nacho sasa hivi nunua gari,jenga nyumba,anzisha biashara na hudumia familia-fanya vyote kwa wakati mmoja kama utaweza.
 
Magu ndo amesababisha haya yote,kukaa kwake madarakani akazuia ajira ndio maana idadi imefikia hiyo 120000+ waombaji wa nafasi za ualimu na afya.
Anza kumlaumu Magu kwanza halafu utuite tujadili haya ya Mama.
 
Back
Top Bottom