Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,572
- 4,825
Huu utaratibu wa kulazimisha kila nyumba ilipe 15 elfu kisa tu kuna sungusungu ambao hata hawajulikani ni vijana wa wapi wana taaluma gani katika ulinzi na background check yao ni nani kawasaili huu ni wizi wa mchana kweupe.
Uzoefu unaonyesha Huu ulinzi shirikishi huwa unachukua watu failure kwenye maisha na kuwapa ajira. Hii kampuni yenyewe yasemekana ya mtu binafsi. Wengine hatuna uwezo wa kuwalipa hawa watu tusiowajua. Tunaomba mamlaka husika mtuondolee huu ufisadi.