Serikali ya matamko

Serikali ya matamko

dj1000

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Hivi karibuni wadauu nadhani mnakumbuka kuwa wazari wa kazi na ajira alitoa tamko kuhusu mawakala wanao waajiri watu especially kwenye sector ya mawasiliano na mwisho ulikuwa tarehe 28/2/2014, ila mpaka sasa sijaona utekelezaji wala tamko lolote au ufuatiliaji wa wizara ya kazi ndo kwanza hawa mawakala especially erolink wanajitamba na kujinadi so inamaana serikali ilitoa tamkoa ili kufurahisha watu? au waziri wa kazi umefungwa mdomo na hawa watu?

Weakly government and i fl so to my country...
 
Back
Top Bottom