Serikali ya magufuli si ya wanyonge

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Awali ya yote napenda kupongeza utumishi wa umma uliotukuka wa serikali ya magufuli.
Si serikali ya walala hoi na wanyonge.

Vijana wasio na kazi- Hakuna mkakati wa kuajiriwa ila kuna mkakati wa kutumikishwa kwa nguvu na ujira wao ni bure.Wanatakiwa wawepo mashambani ama wasafishe mji bure.

Wanao miliki nyumba za kimasikini-Wanatakiwa wapake rangi wapande bustani na wavunje vijiduka vyao na mikahawa yao ilio ovyo ovyo ili kijenga taaswira ya miji -wakishindwa ni kuhamishwa ndo mana yake.

Wajasiri amali wadogo wadogo huenda wakashindwa.

Hawa wanaojiita wajasiri amali wdogo huenda wakalia kilio cha mbwa mdomo juu baada ya miez michache.

Bila kuzingatia kipato utatakiwa uwe na licence ya biashara ulipe msururo wa kodi na si kila sehemu utafanya biashara ni kusema kwamba miji itakua ni sehemu ya watu wa kipato cha juu na watendaji wa umma.

Kama elimu yako umeishia mabanda tu.Sehemu sahihi kwa serikali hii ni vijijini kulima na huenda ikawa kwa kujitolea.

Viongozi wate sasa wanatumia sheria ni jambo zuri alhamdulilah .

note:sheria za tanzania ni msurumari kwa masikini usifanye makosa utaozea jela .
Sheria hazikuruhusu wewe masikini kuja juu utashindwa tu.ukiwaza mama lishe waza kujenga restaurant una uwezo?

Kwa mujibu wa Paul makonda ndani ya mwaka mmoja na nusu mji wa daresalam hautakua mji rafiki kabisa kwa masikini fuatilia hutuba yake kwa watendaji wa daresalam

Serikali ya makufuli ni serikali bora kuwahi kutokea ila jitahidi uwe na kipato kitachokufanya umiliki malicence uweze kujenga vizur na ulipie kodi zote zinazostahili.

Hakuna mkakati thabit wakuinua vijana badala kujitolea
 
Karne hii anayesubiri ajira pekee bila kuwa wazo mbadala itakuwa ngumu sana.
Mtaji wa kwanza si pesa bali wazo/fikra ya nini cha kufanya kujikwamua. Mtaji wa mali au pesa uje baadaye kutimiza lengo la mtaji wa wazo.
 
Under normal circmstances, all living things are reluctant to changes, but change is the only constant ever existed!!
You change or you perish...
 
Kwa wasio fahamu Zimamoto wameanza kupita kila nyumba kudai ada ya laki nne kwa mwaka
HAPA!........ni kazi tuu
 
Under normal circmstances, all living things are reluctant to changes, but change is the only constant ever existed!!
You change or you perish...

I do accept that

But there must strategic plan to reflect the real situation and the nature of our counrty.City plan,law amandment,and researches should be conducted to initiate major changes.Let me tell you that "Room wasnt built in a day "
 
Tusijazane Dar es Salaam bila waa wala ulwa turudi vijijini JIJI litawashinda ndo kama hivyo.Mkirudi huku vijijini utapoamua tayari utakuwa umechelewa Njooni sasa.Mfano mambwe pande waliyotolea nje sasa wanaongoza wenyewe kupatafuta
 
Back
Top Bottom