Nchi hii mambo ni yale yale tu, hakuna tofauti kati ya hawamu hii wala ile. Hakuna uwajibikaji wala nini, ni maigizo tu kwenye kamera na si utendaji uliotukuka.
Hivi inawezekanaje IGP bado yupo ofisini wakati askari wake wameua wafanyabiashara wasiokuwa na hatia tena walionyosha mikono juu kule Sinza na kuwanyang'anya fedha? Hii kesi inafanana kabisa na ile ya Zombe ambapo pia hakuna aliyewajibika..
Kama kuna jipu nchi hii ni jeshi la polisi, hili jipu ni kubwa zaidi ya nundu. Nikiona matendo ya polisi sioni tofauti ya hawamu hizi za serikali tunazoimbiwa. Mi naona mambo yale yale tu. Hatuwezi kuwa na waharifu wanaolipwa na serikali na wengine wanapigiwa saluti!