do we have any option? Tufanyeje sasa hiyo ndiyo option kuwasikiliza wanasiasa na ahadi zao then ku-wa measure baada ya kuwachagua...ndio ustaarabu tulio nao kwasasa labda aje nabii tumsikilize...kwa kuwa ni wanadamu we have to listen, measure and choose among them...after five year we do the same circles and life goes on! Umri unaenda.