Serikali ya Kikwete ni balaa.......

Serikali ya Kikwete ni balaa.......

kichwabaya

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
76
Reaction score
4
Serikali ya Kikwete ni balaa … ebu angalia ofisi ya wakala wa manunuzi serikalini (GPS) mkoa wa Kagera kwa zaidi ya wiki tatu sasa imekatiwa maji kutokana deni la zaidi ya shilingi 35,000.

Kutokana na jengo hilo lenye ofisi mbalimbali za serikali na binafsi, kukatiwa maji, kwa sasa wapangaji hawana mahali pa kujisaidia baada ya vyoo vinavyotumia maji kukosa huduma hiyo.
 
sasa sie jf tuwasaidieje kila mtu akanye kwake
 
Jamani hata hili linahitaji intervention ya President au Central Government?
 
mh ... nalo hili linahitaji amri ya serikali ...?
 
Serikali ya Kikwete ni balaa … ebu angalia ofisi ya wakala wa manunuzi serikalini (GPS) mkoa wa Kagera kwa zaidi ya wiki tatu sasa imekatiwa maji kutokana deni la zaidi ya shilingi 35,000.
Kutokana na jengo hilo lenye ofisi mbalimbali za serikali na binafsi, kukatiwa maji, kwa sasa wapangaji hawana mahali pa kujisaidia baada ya vyoo vinavyotumia maji kukosa huduma hiyo.
wameiba adi ukoko
 
sasa sie jf tuwasaidieje kila mtu akanye kwake

ha haa.....una roho mbaya wewe...ushauri wangu watafute mzabuni awalipie hiyo 35,000/-afu wao waje wamlipe 105,000/-,mimi ningewapelekea hela lakini nimechoka mbaya nipo kihansi napokea vyura wetu kutoka marekani!
 
Jamani hata hili linahitaji intervention ya President au Central Government?

ni kweli kabisa vitu vingine havihitaj intervation ya rais, ni utashi tu wa wahusika, tusipende kulalamika sana bila kuwajibika
 
ha haa.....una roho mbaya wewe...ushauri wangu watafute mzabuni awalipie hiyo 35,000/-afu wao waje wamlipe 105,000/-,mimi ningewapelekea hela lakini nimechoka mbaya nipo kihansi napokea vyura wetu kutoka marekani!
hivi kweli wanarudishwaga??au changa la macho?
 
wanarudishwa ndugu lakini waliorudishwa wote wazee karibia watakufa,sijauliza kama wamefungiwa kizazi sababu sijaona watoto,ukumbuke hili tumeweka rekodi Dunia nzima hakuna nchi iliyowahi fanya hivo,tunastahili kujipongeza kwakweli!
 
Tunasubiri tamko la amiri jeshi mkuu vyoo vipate maji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wanarudishwa ndugu lakini waliorudishwa wote wazee karibia watakufa,sijauliza kama wamefungiwa kizazi sababu sijaona watoto,ukumbuke hili tumeweka rekodi Dunia nzima hakuna nchi iliyowahi fanya hivo,tunastahili kujipongeza kwakweli!

Historia ya kijinga. Dah kweli wabongo empty head
 
ha haa.....una roho mbaya wewe...ushauri wangu watafute mzabuni awalipie hiyo 35,000/-afu wao waje wamlipe 105,000/-,mimi ningewapelekea hela lakini nimechoka mbaya nipo kihansi napokea vyura wetu kutoka marekani!
Duh! nimependa hiyo....we noma
 
Historia ya kijinga. Dah kweli wabongo empty head

ndo zilizobaki ndugu,gharama ya kuwarudisha na kuwatunza hawa vyura vikongwe haitakuja ikaribiane hata kidogo na hela watakazo liingizia hili taifa kupitia utalii,tumeliwa ila hatujui ni suala la mda tu,kuna ndugu ashawahi sema hapa jf kuwa "AKILI ZA WATANZANIA ZIMEINGIA MCHUZI WA NAZI ZA BAGAMOYO" kauli hii niliipenda na ina maana kubwa sana.
 
Kulipa hiyo pesa kwao hawataki lakin waambie wakachukue gesi au wasafirishe twiga utaona wanatekeleza fasta
 
Back
Top Bottom