Serikali ya Kenya kuwaajiri madaktari kutoka Tanzania, Uhabeshi na Cuba

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
2,193
3,208
Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, Peter Munya ametangaza kuwa Serikali itaajiri madaktari kutoka Tanzania, Ethiopia na Cuba ndani ya wiki tatu zijazo ili kuchukua nafasi ya madaktari walio katika mgomo.

Haya yamekuja siku moja tu baada ya Rais Kenyatta kusema kuwa madaktari hao wanairubuni(blackmail) serikali na wanachotaka kwa Serikali ni kikubwa mno na hakiwezi kufanywa ndani ya usiku mmoja.

========

Council of Governors Chair Peter Munya has announced that the government will hire doctors from Tanzania, Ethiopia and Cuba in the next three weeks to replace striking doctors.

Speaking during the ongoing devolution conference in Naivasha, Munya directed doctors who are yet to resume duty to go and sign Recognition Agreements with their individual county governments.

The striking doctors are, however, insisting that the recognition agreement and the CBA as amended and revised should be signed first before they can return to work.

In a statement to newsrooms, the Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Dr Ouma Oluga and other union officials have urged the doctors to maintain their resolve insisting that the recognition agreement and CBA must be signed to end the 94-day strike.

“We await to conclude the signing of Recognition Agreements, CBA and then after RTWF as was guided by the Court of Appeal under the Mediation of Religious Leaders. We hope this shall be done soon,” read the statement.

Despite government withdrawing a deal negotiated during the meditation process, the doctors now say that they cannot be coerced and bulldozed into returning to work without inking the negotiated deal.

“While the payroll and the hospital belongs to the government, your skill is selfishly yours. But let nobody make you think that it must be forced on you to use it,” said Oluga.

But the council of governors remains adamant that the deal is no longer on the table, accusing the union of sabotaging the health sector.

This comes just a day after President Uhuru Kenyatta on Tuesday, March 7 termed demands by doctors as blackmail, saying that what the medics are demanding in their 2013 Collective Bargaining Agreement is too high and cannot be achieved overnight.

The Head of State further warned the striking medics of consequences should the ongoing mediation process fail.

“If this round they are engaged with religious leaders fail, we will be in a bit of a problem with them,” warned Kenyatta. “This is blackmail and we are not going to entertain it.”

While terming the doctors as dealing an unfair hand, Kenyatta reiterated the government’s commitment to a fair resolution to the doctors and also to the Kenyans who pay.

“It is clear to me that the doctors’ grievances will never be resolved by creating new grievances of their own. Two wrongs have never made a right,” lamented the President. “There is no fairness in that.”

In January, the government had intimated that it was exploring possibilities of recruiting foreign doctors in a bid to restore health services in public hospitals.

Speaking during a joint media conference then, Health Cabinet Secretary, Cleopa Mailu, who was accompanied by Treasury CS, Henry Rotich, and Public Service Commission (PSC) chair, Prof Margaret Kobia, expressed disappointment in the doctors’ union for rejecting the government’s offer.

Source: Citizen
 
Nilimsikia rais wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) anasema interns wa Kenya wana earn zaidi ya registered doctors wa bongo.

Nadhani wengi wataacha kazi na kuna uwezekano ghasia dhidi ya wageni zikaanza Kenya kama ilivyo SA.

Kwa sasa bongo Kuna madaktari zaidi ya 1500 wako mtaani
 
This is not good, I feel it down into my damn guts, we still need our doctors back. Both sides should cede grounds and meet somewhere.
 
Hamna siku utaskia Wakenya wanawachukia wageni kwa ajili ya masuala ya ajira, maana wenyewe tuna uwezo wa kulinda ajira zetu kwa kujituma balaa. Ukija Kenya kutafuta kazi lazima uwe tayari kutia bidii pindi ukipata.
 
This is not good, I feel it down into my damn guts, we still need our doctors back. Both sides should cede grounds and meet somewhere.
Nchi ndio huwa inakufa taratibu. Hii ni kwa sababu ya tamaa za wachache. Ni lazima intelligent ya kenya ifanye kazi kwa nguvu.
 
Nilimsikia rais wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) anasema interns wa Kenya wana earn zaidi ya registered doctors wa bongo.

Nadhani wengi wataacha kazi na kuna uwezekano ghasia dhidi ya wageni zikaanza Kenya kama ilivyo SA.

Kwa sasa bongo Kuna madaktari zaidi ya 1500 wako mtaani

Hapatatokea ghasia yoyote, wajua mgomo ulipoanza, wakenya walikuwa upande wa madaktari, lakini siku zilivozidi, watu wakachoka na hao madaktari, nia yao haijulikani tena, hivi madaktari kutoka nje hawatakuwa na shida yoyote na raia. Madaktari 5,000 hawawezi ingia kila county wakizua rapsha juu ya hao wageni, mwanzo watawekwa ndani wakijaribu
 
Let me warn the TMA members that the Kenyans are very difficult and dangerous people to work with. You will end up being murdered. So never accept that deal please
 
Let me warn the TMA members that the Kenyans are very difficult and dangerous people to work with. You will end up being murdered. So never accept that deal please
Really??care to give examples?
 
This is not good, I feel it down into my damn guts, we still need our doctors back. Both sides should cede grounds and meet somewhere.
Sina uhakika ila nahisi mgomo wa madaktari wenu unachochewa zaidi na akina Otieno, Ochieng na Onyango. Ongezeko la mshahara wanalotaka ni kubwa mno na hamna kiongozi yeyote ikiwemo Raila atayeweza kutimiza matakwa yao.
Dawa yao ni kuwanyang'anya leseni zao warudi kunyonya kwa mama zao.
 
Naona dalali za hospitali zetu hapa bongo kukaukiwa madokta. Ninaamini wengi sana wataondoka maana huku nahisi mshahara wao ni mdogo plus maudhi ya wakuu wa mikoa na wilaya ya kuwasweka ndani hata kwa mambo yasiyo ya msingi.

Sio wote vile wanaweza toka, nadhani ni wachache tu, Kenya itahitaji madaktari 8,000 tu kwa sasa.
 
Let me warn the TMA members that the Kenyans are very difficult and dangerous people to work with. You will end up being murdered. So never accept that deal please

Kweli wewe, umewahi sikia mgeni yeyote toka nchi jirani ameuliwa na wakenya?? Mbona wewe hasidi?? No foreigner has ever been killed sababu amekuja Kenya kufanya kazi ama biashara, na hatuna tabia hiyo
 
Sina uhakika ila nahisi mgomo wa madaktari wenu unachochewa zaidi na akina Otieno, Ochieng na Onyango. Ongezeko la mshahara wanalotaka ni kubwa mno na hamna kiongozi yeyote ikiwemo Raila atayeweza kutimiza matakwa yao.
Dawa yao ni kuwanyang'anya leseni zao warudi kunyonya kwa mama zao.

Imeanza kuonekana ni mambo ya kisiasa, ila halijabainishwa vyema
 
Pia kuna madaktari waliohitimu Tanzania bado hawajapangiwa vituo vya kazi, nadhani hao wanaweza kusaidia pia.

Ila hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
 
Wakenya hawatakubali ajira zao kuchukuliwa n.a. Wabongo hakika mtakufa hawa siyo ma.....ge kama sisi

Wakenya hatukuko hivyo, wewe uliona mfano kazi ya usimamizi wa KQ, Kazi ilitangazwa, watu toka hadi Marekani wakaaply, interview zikafanywa na mmoja sijui kutoka uswizi ndiye aliyepata hiyo kazi. Hujasikia wakenya wakisema aende ama hafai, sisi huchukulia competition kwa uzuri
 
Back
Top Bottom