Ajenti wa Funza
Member
- Jun 12, 2015
- 27
- 5
Naona octoba mbali kweli mdee bungeni unaludi we ni noma
Kama halima anauwezo wa kumaliza mgogoro kwaini hajamaliza yeye mpaka amekuja Lukuvu ndiyo mgogoro ukaisha kwahiyo ujue kuwa bila serikali ya ccm kutia miguu hapo mgogoro usingeisha.
Tuacheni uchama jamani, MTU anapopiga kazi lazima tumsifie. Tangu Magamba yameanza hayajawahi kutoa kifaa kizito kama Lukuvi. Namkubali sana LUKUVi anajituma. Magamba igeni huo mfano. Hongera sana waziri, timu yako, Mbunge na Madiwani. Ndo tunachokitaka hiki.
Tangu utoe mimba umekuwa kituko wewe mama!
Kama halima anauwezo wa kumaliza mgogoro kwaini hajamaliza yeye mpaka amekuja Lukuvu ndiyo mgogoro ukaisha kwahiyo ujue kuwa bila serikali ya ccm kutia miguu hapo mgogoro usingeisha.
Kama halima anauwezo wa kumaliza mgogoro kwaini hajamaliza yeye mpaka amekuja Lukuvu ndiyo mgogoro ukaisha kwahiyo ujue kuwa bila serikali ya ccm kutia miguu hapo mgogoro usingeisha.
Tangu utoe mimba umekuwa kituko wewe mama!
Mda wa ccm kuhaha umefikaKuelekea uchaguzi mkuu kutakuwa na 'maazimio' kama haya mengi sana. Kule Kigamboni walipewa 'azimio' la kutonyang'anywa maeneo yao, bali wataruhusiwa kuuza kwa hiari yao. Je ramani ya mji wa Kigamboni imewekwa kando? Kama hapana, je nini kitatokea ikiwa wananchi watakataa shinikizo la kuuza maeneo yako, hasa kwa bei chee??
Naona octoba mbali kweli mdee bungeni unaludi we ni noma
Kama halima anauwezo wa kumaliza mgogoro kwaini hajamaliza yeye mpaka amekuja Lukuvu ndiyo mgogoro ukaisha kwahiyo ujue kuwa bila serikali ya ccm kutia miguu hapo mgogoro usingeisha.
Ule mgogoro wa ardhi uliokuwa ukiwahusisha wananchi na kiwanda cha Cement cha wazo hatimaye umekwisha rasmi.
Na hii imetokana na juhudi binafsi zilizofanywa na mbunge matata Halima Mdee kwa kushirikiana na madiwani makini.
Wa chadema Janeth Rithe, Deus Mtiro na Esther Samany ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakilaumu serikali kwa kuendelea kumkumbatia mwekezaji wa kiwanda hicho bila kuwajali wananchi ambao ni watanzania.
Hatimaye leo saa 7:00 mchana waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi pamoja na naibu wake walifika eneo la Chasimba wakiwa sambamba na timu nzima ya wizara hiyo iliyoongozwa na katibu mkuu wa wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi na hatimaye wamekubali kuwa wananchi wa chasimba,chachui na chatembo wataendelea kuwepo hapo maisha yao yote.
Hongera Halima Mdee, Janeth Rithe, Samanya waziri kwa kusikia kilio cha wananchi
Kafanya nini sasa mbona amekaa na huo mgogoro zaidi ya miaka minne mpaka waziri lukuvi kaja ndiyo umeisha kwanini hajamaliza bila lukuvu kufika.
Ule mgogoro wa ardhi uliokuwa ukiwahusisha wananchi na kiwanda cha Cement cha wazo hatimaye umekwisha rasmi.
Na hii imetokana na juhudi binafsi zilizofanywa na mbunge matata Halima Mdee kwa kushirikiana na madiwani makini.
Wa chadema Janeth Rithe, Deus Mtiro na Esther Samany ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakilaumu serikali kwa kuendelea kumkumbatia mwekezaji wa kiwanda hicho bila kuwajali wananchi ambao ni watanzania.
Hatimaye leo saa 7:00 mchana waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi pamoja na naibu wake walifika eneo la Chasimba wakiwa sambamba na timu nzima ya wizara hiyo iliyoongozwa na katibu mkuu wa wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi na hatimaye wamekubali kuwa wananchi wa chasimba,chachui na chatembo wataendelea kuwepo hapo maisha yao yote.
Hongera Halima Mdee, Janeth Rithe, Samanya waziri kwa kusikia kilio cha wananchi
Wewe jamaa usiwe jinga kiasi hicho mpaka unashindwa kujua nan msimamiz wa ardhi na sheria.hujui kutofautisha kaz bunge na serikali....?ufaham wa darasa la saba.kweli wew ni mkoa mpya.Kafanya nini sasa mbona amekaa na huo mgogoro zaidi ya miaka minne mpaka waziri lukuvi kaja ndiyo umeisha kwanini hajamaliza bila lukuvu kufika.
Kamanda Mdee amefanya kazi kubwa sana na ya kupigiwa mfano.
Sasa tunamuongezea miaka mingine mitano ili afanye makubwa zaidi ya haya aliyofanya awamu hii ya 2010-2015!