Serikali ya CCM ya Mwenyekiti Magufuli Inaumbuka. Hongereni wapinzani

Katika mada kama hii huwezi kujibiwa na nyumbu hata mmoja wa wale wa book saba kutoka lumumba.
 
Ila ukweli ni kuwa ccm inaandaa machafuko, vita ya wenyewe na umwagaji damu. Kwa matendo haya yanayoendelea hatufiki mbali.
 
Back
Top Bottom