sidhani kama umefikiria sawa sawa.....serikali hii haina sababu ya kuumiza raia wake.sipendi siasa na sipendi watu wanaojaribu kutumia siasa kupindisha ukweli.cant we talk of something else?
ni mtazamo tu

Kutokana na watz wengi kutoipia CCM kura kwenye uchaguzi wa 2010, wamebuni mbinu ya kuwakomoa watz kwa kutolipa mishahara ya watumishi wa umma, umeme na bidhaa muhimu kupanda bei mara dufu, kulipua mabomu kwa makusudi na kuendesha nchi kienyeji kwa kukandamiza vyama pinzani.
Mbinu hii hutumiwa sana na wanasiasa walioshindwa kwenye uchaguzi, Savimbi wa Angola yeye aliwakata mikono wanachi ambao hawakumpigia kura.
Tafakari chukua hatua mapema, na wanafurahi sana jinsi tunavyoumia na makali ya kisasi hiki. Hadi 2015 kazi tunayo.
Kwa nini mkuu, fafanua kidogo!siamini kama nduli ccm atakuwepu mpaka 2015 pia sidhan kama atamliza mwaka huu
Mkuu. Siasa ndo inaendesha mfumo wa maisha. It is inevitable. Kuzungumzia siasa ni kama kufa vile(yaani ni lazima).
Au pengine mkuu hufahamu maana ya siasa? Sema tusaidiane.
msaada wa ufafanuzi mkuusiamini kama nduli ccm atakuwepu mpaka 2015 pia sidhan kama atamliza mwaka huu
ni kweli siasa ni kila kitu ila inatakiwa kutumika kama means ya kuwakomboa kiuchumi wanannchi wake......kupanda kwa gharama za maisha its a global issue.how can we hold our gov responsible for this?