Serikali ya ccm hii

Kweli kabisa. Wakulima wamekopwa mazao mpaka leo. Sijui kama mheshimiwa atazungumzia hili leo. Wafanyakazi wanakopwa mishahara kila mwezi. Huyo mkulima aliyekopwa mazao asipotoa "mchango" wa maabara ni jela tu. Wameongeza miezi sita ujenzi wa hizo maabara ili waendelee kukusanya michango!
 
Kweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe na asipo pewa basi ipo siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…