Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Hapa nimeamini ndani ya CCM watanzania tusitegemee kwenda mbele,
Maigizo tu yanatuhusu.
Walisema Nchi hii ni Tajiri, utajiri ndio huu alikuwa anamaanisha wa kuongeza Kodi na Umeme?
Utajiri huu wa kuziba midomo watu wasiseme kuna Njaa Huku watu wananjaa.?
Serikali haiwezi kujiendesh bila kawakamua wananchi!
Watanzania tumefeli, tutalia Sana Hakuna unafuu hapa.