Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sana Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.

Na viongozi majuha kama hawa wanaotuongoza sioni Tanzania ikiheshimiwa nje ya mipaka yakeKatika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sanau Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.
Panya road wanawakimbiza hadi polisiMnafiliria ya Burundi wakati yakwenu yamewashinda kwenu Tz kuna amani?
Mnafiliria ya Burundi wakati yakwenu yamewashinda kwenu Tz kuna amani?
Hatuna uwezo wa kusaidia, vita si mchezo tunaona mfano mbele yetu kenya waliingia Somalia wakifikiri watakua huko si zaidi ya miezi mitatu, sasa maji yamewafika shingoni kutoka hawawezi vita imewajia uwanjani mwao mpaka wanaua raia wenzao kama wendawazimu kwa kuchanganyikiwa.Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sana Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.