Serikali ya Burundi yaomba msaada wa kijeshi kutoka Tanzania

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
0
Baada ya kuonekana viashirio vya uvunjifu wa amani kutoka makundi ya waasi nchini Burundi, nchi hiyo imeomba msaada wa kukabili waasi hao kutoka vikosi imara vya majeshi ya Tanzania.Vikosi hivi imara vimejijengea sifa baada ya kuvifyeka vikosi vya waasi wa M23 nchini Congo. Vikosi vya Tanzania vinaunda kikosi maalum cha Umoja wa Mataifa vinavyopambana na waasi nchini Congo.

Hata hivyo waasi hao wa FNL wameshapata kipigo kutoka vikosi vya Umoja wa Mataifa.

CHANZO : Gazeti la JAMHURI.
 
pixel

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,631
1,500
Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sana Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.
 
East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
1,195

Tatizo halijawa kubwa liko bado ndani ya uwezo wao. Wakikwama wakihitaji msaada Tanzania huwa haina shida kutoa msaada uwe wa mawazo,usuluhishi,n.k
 
MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
926
1,000
Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sana Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.

nikweli tunapaswa kuwasaidi warundi wanahali mbaya kiusalama.
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,093
2,000
Wasubiri uchaguzi mkuu upite ndo wasaidiwe.Siwaamini ccm wanaweza kuchota hela hapo kwa kisingizio cha kuisaidia Burundi
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sanau Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.
Na viongozi majuha kama hawa wanaotuongoza sioni Tanzania ikiheshimiwa nje ya mipaka yake
 
msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,775
2,000
Hahahahaha panya road wanalitikisa jiji kwa kutumia wembe tu
 
Faridi

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
672
250
Katika nchi za Afrika mashariki Burundi ni nchi pekee inayotupa heshima sana Tanzania kisiasa na kiuchumi.Kisiasa Burundi ipo na Tanzania katika hoja nyingi za EAC.kiuchumi burundi inatumia bandari zetu kupitisha bidhaa zao kwa asilimia karibu mia, na ni mlango wenye uhakika kati ya TZ na DRC(sadc) kama tukijipanga.Serikali ya burundi imeonyesha kuwaheshimu sana watanzania kwa msaada wetu hasa walipokua kwenye machafuko kuliko nchi zote za EAC ambazo kimsingi huwa tukishawasaidia wanasahau na kututukana ovyo ovyo kwa dharau na kebehi.Serikali ya Tanzania lazima iwajue marafiki wa kweli na tuwe wepesi kutoa msaada wa ushauri,usuluhishi na hata kijeshi kwa marafiki zetu wa dhati.Tatizo lililopo burundi sio ugaidi,kwahiyo tunaweza kusaidia.
Hatuna uwezo wa kusaidia, vita si mchezo tunaona mfano mbele yetu kenya waliingia Somalia wakifikiri watakua huko si zaidi ya miezi mitatu, sasa maji yamewafika shingoni kutoka hawawezi vita imewajia uwanjani mwao mpaka wanaua raia wenzao kama wendawazimu kwa kuchanganyikiwa.

Ukitizama nchi yetu imefilisika iaendeshwa kwa misaada hivi sasa,tuna uwezo gani wa kuisaidia nchi nyengine, gharama ya vita si ndogo na huwa haijulikani itaisha lini, ni bora tukae kimya tukashughulika na vita iliyoko ndani nchini kwetu, kupigana na adui ajira kwa vijana, elimu, umasikini, mahospitali hamna madawa na matatizo mengine mengi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom