Baada ya kuonekana viashirio vya uvunjifu wa amani kutoka makundi ya waasi nchini Burundi, nchi hiyo imeomba msaada wa kukabili waasi hao kutoka vikosi imara vya majeshi ya Tanzania.Vikosi hivi imara vimejijengea sifa baada ya kuvifyeka vikosi vya waasi wa M23 nchini Congo. Vikosi vya Tanzania vinaunda kikosi maalum cha Umoja wa Mataifa vinavyopambana na waasi nchini Congo.
Hata hivyo waasi hao wa FNL wameshapata kipigo kutoka vikosi vya Umoja wa Mataifa.
CHANZO : Gazeti la JAMHURI.
Hata hivyo waasi hao wa FNL wameshapata kipigo kutoka vikosi vya Umoja wa Mataifa.
CHANZO : Gazeti la JAMHURI.