Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
Kwenye picha chini hizo sio Chocolates zinazomiminika kwenye mabomba bali ni maji yenye matope mazito yanayosukumwa toka kwenye chanzo cha mto kumugobhoka. Maji hayo hayafai sio tu kwa Binadamu hata Wanyama.
Haya maji yenye matope ndiyo wanayotumia wakazi wa mji mdogo wa Kibondo
Naiomba serikali tukufu , kuanzia kwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliaji bwana profesa kitila mkumbo, wasaidien wananchi wa kibondo kabla hawajaumwa na kupata magonjwa ya mlipuko
Sent using Jamii Forums mobile app