twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Kuilalamikia Clouds fm ni upumbavu wao wanachojali ni interests zao na mashabiki wao kama ninyi.Muilaumu serikali yenu dhaifu kwa kushindwa kuwadhibiti hao kenge.
Kama ni kweli. Si utoe. Report tcra. Wafungiwe haipendezi mambo kama hayo katika jamii yetunimesikitika sana kumsikia Diva akiongea eti kusapoti malezibian na magays, huyu dada ana laana sana...pengine nae ni msagaji. Alafu sirikali inawaachia tu watu kama hawa wanachafua jamii...
Ni Ulemavu kama Ulemavu Mwingine Unaitwa UHOJI Yaani Upungufu wa Homoni za Jinsia.
nimesikitika sana
kumsikia Diva akiongea eti kusapoti malezibian na magays, huyu dada ana
laana sana...pengine nae ni msagaji. Alafu sirikali inawaachia tu watu
kama hawa wanachafua jamii...
Yaan hawa jamaa wanajua maana ya Mungu kumuumba mwanamke na mwanamume kuwa tofauti???
Hivi sisi tunasikiliza michezo afu huyo Diva anaingia na mada zake za kusupport ushoga na usagaji??? Pumbavu kabisaaaaa!!!
Mungu si mjinga na wala si mpumbavu kufanya jinsi tofauti???
Sodoma na gomora zilichomwa moto kwa ajili ya wajinga kama hawa wa clouds fm wanaosupport kila siku ushoga!!!!
Ww shafii na ibrahim masoud huyo diva kaingiaje hapo kusupoti ushoga na wakati sisi tunasikiliza michezo????
Yeye akae na ujinga wake wa kipindi cha mapenz utadhan anayajue yeye????
Plzzz be serious u guys hii ni Tz huo ujinga muupeleke huko nje mnakokimbilia kusoma baada ya kufail hapa Tz
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ile "fine" waliyopigwa na "TCRA-Serikali" haikutosha....Wakifungiwa mwaka mmoja ndiyo watatia akili kidogonimesikitika sana kumsikia Diva akiongea eti kusapoti malezibian na magays, huyu dada ana laana sana...pengine nae ni msagaji. Alafu sirikali inawaachia tu watu kama hawa wanachafua jamii...