Tunapoelekea katika mjadala wa rasimu ya katiba, kuna dalili za wazi kuwa Zanzibar itaibuka kidedea na kuwa kama Cape Verde, na hatimaye kupeperusha bendera yake UN! Tusubiri tuone, yetu macho!
Jamani Waznz wenzangu tusijipi moyo kwa hilo ndio kwanza vita inaanza subiri tuone, mambo muhimu yamo ndani ya muungano na zanzibar itakua haina mamlala ndani ya muungano huo.