President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Tunapoelekea katika mjadala wa rasimu ya katiba, kuna dalili za wazi kuwa Zanzibar itaibuka kidedea na kuwa kama Cape Verde, na hatimaye kupeperusha bendera yake UN! Tusubiri tuone, yetu macho!
kwa ufupi znz siyo nchi kwa mujibu wa jaji wa kesi ya hamisi machano na wenzake iliyohusu kutaka kupindua nchi.
Tanzania haipo bila ya ZNZ, ndio maana ni ngumu Tanganyika kuiacha ZNZ iende! <br><br>Tanganyika itagharimika sana muungano ukivunjika.
Unaweza kutuambia Tanganyika Bila Zanzibar itakosa nin?nin itapoteza?