Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A
MFANO
ST 204 A
Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A
MFANO
ST 204 A
Ulikuwa pale mwaka gani mkuu Amavubi?Nakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi
kumbe wewe mluhilaNakumbuka wakati niko Box Tu Songea tulikua na mustin kama huu wa wazi