Serikali: Stiegler's Gorge ipo katika ilani ya CCM

Kwani yule bibi wa Msimbati ameachia gesi uje Dar!!! Mbona watu wa Dar hatuioni na gesi inapanda bei tu..
Yule bibi alisema gesi haitoki wakabisha.. Wametandaza mabomba nasikia yanapitisha hewa tu..
 
Ilani ya CCM iliandaliwa October to December 2014 ikimlenga Lowasa kama main candidate. Ndio sababu katiba mpya ilikwamishwa kwa nguvu zote.
 
IMG_20180411_073438_624.jpg
 
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati na umeme wakati akijibu hoja za Nape Nnauye na kusema,ilani ya ccm imetaja miladi itakayoendelezwa ni pamoja na maji,gesi,upepo na makaa ya mawe,ilani haijataja mladi mmojammoja
Miladi = Miradi
 
Ahsante sana COLE!
Nape anachotaka ni kila mradi utajwe kwenye ilani ya uchaguzi na siyo maudhui ya jumla!
Aidha, wenye kumuunga mkono, kama ilivyo kwetu Watanzania wengi kuwa wavivu wa kusoma na kutafakari maandiko / machapisho / makala, wanakosa hoja za kitafakuri kutokana na uvivu wa kurejelea ilani yenyewe wanatoa maoni yasiyo na mashiko na badala yake wanabaki kupiga blaa blaa!
 
we kalia porojo tu. hoja za nape zimeeleweka vizuri tu. ccm mtaipoteza kabisa ushawishi Lindi na mtwara,
 
Hata suala la Katiba Mpya halikuwahi kuandikwa kwenye Ilani yoyote ya CCM. Halimo kwenye Ilani ya 2010 wala ile ya 2015. Kwahiyo tunapopinga jambo moja (kama Stiggler) tuwe tunafikiria na impact yake kwa mambo mengine pia.
 
Back
Top Bottom