serikali saidia waliokosa ajira hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali saidia waliokosa ajira hawa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wakwetu03, Apr 20, 2012.

 1. Wakwetu03

  Wakwetu03 Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kuna vijana wengi wenye elimu mbalimbali ambao wapo mtaani bila kuwa na ajira yoyote,naomba serikali iwape vijana hawa kazi kwenye sensa ya taifa badala ya waalimu ambao tayari wana ajira zao.NAWASILISHA.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mwenye nacho anaongezewa
   
 3. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena mkuu,hata mimi sijapata ajira had sasa.
   
 4. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kukosa ajira kumekufanya uwaze hulo.. naunga mkono hoja
   
 5. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kwenye katiba JE???????????? SWALI LA NYONGEZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 6. Wakwetu03

  Wakwetu03 Senior Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasa tunafanyaje mkuu ili kuishawishi serikali isaidie mchakato huu?
   
 7. Wakwetu03

  Wakwetu03 Senior Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona wakati umefika sasa sisi vijana kuishinikiza serikali itupe sisi hizo nafasi.NAWASILISHA
   
 8. Wakwetu03

  Wakwetu03 Senior Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Basi tuungane pamoja kwa umoja katika hili mkuu
   
Loading...