Serikali rekebisha haya mapema TRA

Serikali rekebisha haya mapema TRA

Mi kuna siku nimejaribu kuuliza baada ya kusoma yale maelezo ya nyuma, nilipoanza anza kuhoji nikaambiwa niandike barau na niorodheshe hayo ninayo ona ni matatizo.
 
Poa mimi niko hapa Kibaha Tra naomba kuhamisha faili toka Shinyanga kuja kibaha na ambiwa niende Shinyanga kupeleka barua ya kuhamisha faili yaani ina maana Tra bado wanatumia manuel nikaomba kukadiliwa hapo sasa ni komoeni naomba zichapishwe form zenye vipengele kama vilivyotajwa juu,usafiri,kodi nk badala ya mhasibu mtaji mdogo utampa nini
Hao Tra kibaha hawana msaada bora uhamishe file peleka DSM hao wa pwani mama yangu barua utapeleka mwenyewe shinyanga. Wanafanya kazi utadhani enzi za mwalimu
 
Kaka unakwepa hoja ya msingi. Soma uelewe nilichoandika. Narudia nimesema umefika wakati muafaka kuwe na services zinazotarget SMEs kwenye mambo ya book keeping kwa maana gharama zake zitakiuwa ndogo. Nimependekeza tu kama kuna mtu mwenye nia ya kuinvest kwenye hili. Wewe umengangana na kwamba biashara ndogo biashara ndogo. Sasa mimi nasema kuwe na accounting services zinazotarget biashara ndogo kwa gharama nafuu. Mwisho wa siku biashara bila records ni kupoteza muda. Bila ya hivyo TRA wataendelea kuwakadiria watu kodi kubwa. Sasa mtu atajuaje kuhusu ishu ya gharama zako kama huna mahesabu yeyote ya kuaminisha? Tutafute suluhu ya tatizo...Mimi nimependekeza hivyo. Wewe pendekeza ipi itakuwa ni hatua stahiki ya kupunguza tatizo. Maana mpaka sasa unalalamikia TRA bila kupendekeza hatua stahiki za kufanya aidha na wafanyabishara au TRA. Sema nini TRA wanapswa kufanya ili kujua kiwango stahiki unachopaswa kulipa kama huna mahesabu yeyote ya biashara?
Sijakwepa hoja ya msingi jukum la kuhakikisha wafanya biashara hususani wadogo wasio na wataalam wa ukokotoaji na uandaaji wa taarifa linapaswa kuwa la Tra.
Tra wameajiri waalim washauri kwa walipa kodi (taxpayer educations officers) lakini hawana msaada wowote kwa walipa kodi ofisi zao zipo wazi Mfano: Naenda Tra Pwani zaidi ya 3 months nimemtafta sikuwahi kumpata.
Wateja wengi wanakadiliwa wakihoji wanatishwa au tukuongezee Tra si rafiki wa mfanya biashara ndio maana Wengi wamezoea Magumashi kwa sababu ya ukritimba wa Tra na uungu watu wa maofisa wa Tra.
Nini kifanyike.
Itolewe elim ya kutosha kwa wafanya biashara ikiwezekana zitengenezwe (schedule sheet) ya wiki na mwezi na mwaka imwelekeze mteja jinsi ya kutunza kumbukumbu hususani wateja wadogo wasio lazima kuwa fiscal receipt machiner itasaidia siyo kukadilia tu na kuwafilisi wajasiliamari wadogo ni kulisababishia Taifa umasikini na ukosef wa ajira.

Tra wawe rafiki wa wafanya biashara si kuwatisha na kusababisha biashara nyingi za mitaani kukwepa kodi na kulinyima taifa Mapato .
Mfano wiki iliyopita nikiwa katika ofisi ya afisa biashara nilishuhudia Mama mmoja akiulizwa maswali eti hii biashara una uzoef nayo wa mda gani akajibu miezi mitano Tra hawakunipa clearance Afisa biashara akampiga faini ya nusu mwaka huu ni uonevu usiofaa.

Nilishudia Tra mtu amepata tin ya biashara anaulizwa biashara hii unauzoef nayo miezi mingapi 3 analipishwa eti alikuwa anakwepa Mapato.

Wafanya biashara wapewe elim si kutishwa.
 
Back
Top Bottom