IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
Hii dunia ya sasa ina maajabu sana ,unapita makaburini unakuta kaburi limejengewa ukubwa wa meter 3/5 mtu1.
Hivi mnataka baada ya miaka50 wengine wazikiwe wapi? Hakuna kitabu cha dini kinacho endekeza kujengea makaburi..
Ni utashi wa watu binafsi na ubinafsi..km kaburi likipotea shida iko wapi?
Ilo kaburi linakusaidia nini unaliabudu au linakusaidia nn?
Nashauri serikali ipige marufuku kabisa kujengea makaburi..
Sent using Jamii Forums mobile app