Gamlemilwe
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 290
- 202
Wanafunzi ambao walichaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano awamu ya kwanza walishaanza masomo yao zaidi ya mwezi mmoja sasa. Lakini wale ambao majina yao yalitoka kwamba watapangiwa shule awamu ya pili(Second selection) ni kimya hadi sasa.
Wanafunzi wanaosubiri kupangiwa shule awamu ya pili hawaelewi chochote lini watapangiwa shule ili wakaungane na wenzao katika masomo. Mamlaka zinazohusika ni vema walifanyie kazi suala hili mapema kadri iwezekanavyo ili wanafunzi waanze masomo.
Naomba kuwasilisha.