Lowasa alete ushahidi tu hatutaki serikali ionee mtuMashambulizi katika vita yeyote hayahitaji askari wenye sare peke yao, hata mwananchi wa kawaida ana nafasi yake! (mbinu hii ilitumika pia katika vita vya Amini!)
masaburi alisema wabunge wa dar wanafikiri kwa kutumia makalio naona si wabunge tu mko wengiPorojo tu Lowasa hana jipya angekuwa na kama angetaja nani kaonewa na kwakiasi gani katozwa kodi kubwa siyo kuleta story za kizubeda ambazo hazina mashiko.
Kwa kauli aliyoitoa Lowasa kuwa serikali inawatoza kodi kubwa wafadhili wake, wa kumbana Lowasa ni serikali iliyonyooshewa kidole na siyo CCM waache kukurupuka.
Kwa kauli aliyoitoa Lowasa kuwa serikali inawatoza kodi kubwa wafadhili wake, wa kumbana Lowasa ni serikali iliyonyooshewa kidole na siyo CCM waache kukurupuka.[/QUOTE
KAMA ALITAMKA HIVYO NI AIBU KUBWA NA FEDHEHA KWA KIONGOZI ALIYEKUWA ANAWANIA NAFASI YA URAIS. INA MAANA ANGEUPATA URAIS NDIYO ANGEFANYA KAZI YA KULIPA FADHILA KWANZA KWA WAFADHILI WAKE HALAFU NDIYO ATUKUMBUKE SISI WANANCHI!!!!!!!!!!!!! AMENIKATISHA TAMAA SANA!!!! KIONGOZI UNAWAHURUMIA WAFADHILI????? MAAJABU!!!!!!
Naona umeamua kum quote Bulembo,Porojo tu Lowasa hana jipya angekuwa na kama angetaja nani kaonewa na kwakiasi gani katozwa kodi kubwa siyo kuleta story za kizubeda ambazo hazina mashiko.